Fally alipotumbuiza kwa Rais Denis Sassou Nguesso

May 9, 2012

Rais Denis Sassou Nguesso na mkewe “Le Premiere dame du Congo Brazzaville” Antoinette “Antou” Sassou wakila bata la christmas  pamoja na members wengine wa familia katika moja ya mahekalu yao ndani ya ardhi ya Congo Brazaville ambapo siku hiyo fally ipupa na bendi yake walikuwepo kutumbuiza kwenye hafla hiyo kwa mualiko wa mzee na mama Antou Sassou.


%d bloggers like this: