TANZIA NA SHUKRANI: MAREHEMU RAYMOND MADINDA MANG’ATI

 

madinda

Familia ya Bibi Nkinde Mwakitalu (Mrs. Nkinde Raymond Mang’ati) wa Makumbusho, Dar Es Salaam, inatoa shukrani za dhati kwa Ndugu , Jamaa na Marafiki

Kwa kushiriki kwenu kwa hali na mali wakati wa Msiba wa Mpenzi marehemu Raymond Leornald Madinda Mang’ati aliyetwaliwa na Bwana tarehe 23 April 2012 na kuzikwa tarehe 26 April 2012 Kiondoni, Dar Es Saaam.

Hatuna maneno ya kutosha kuelezea ila tunaomba mpkee shukrani zetu kama sehemu ya kutambua mchango wenu na moyo wa upendo mliotuonyesha wakati wa kipindi chote cha Msiba na hatimaye kumsindikiza mpenzi wetu Marehemu Raymond Leonard Madinda Mang’ati katika safari yake ya mwisho.

MWENYEZI UNGU AWABARIKI SANA.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIDIWE

“MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU RAYMOND LEONALD MADINDA MANG’ATI MAHALA PEMA PEPONI AMEN.

image

4 Responses to TANZIA NA SHUKRANI: MAREHEMU RAYMOND MADINDA MANG’ATI

 1. Anonymous says:

  Pole sana Nkinde Mungu akutie nguvu uweze kulea watoto aliokuachie kipenzi chako mume wako

 2. Esther says:

  Nde Mungu ni muaminifu, mtwike fadhaa zako!

 3. Rose Mwanri says:

  Pole sana mdogo wangu,Mungu wetu na baba yetu amempenda zaidi!Tupo pamoja kwa maombi mungu atukuzie watoto wetu

 4. samir nassor says:

  600900

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: