Gari ya Bob Marley

May 2, 2012

image

Hii ni Gari ya Bob Marley ambayo alikuwa anaitumia mpaka mauti yanamkuta, Kwa sasa Gari hiyo imepark kwenye makumbusho huko Kingston Jamaica. Mambo ya Wasiwasi Mwabulambo na Paul Sifa Mikongoti.


%d bloggers like this: