Watoto wa Congo na utata wa uraia wa Koffi Olomide
Ni Kitambo sasa tangua suala la uraia wa Mwanamuziki Koffi Olomide lianze, mengi yamesemwa kwenye mitandao ya kijamii huku watu wengine wakisema Koffi ni Mcongoman ambaye mmoja wa wazazi wake ndiye Mcongo na Wengine wakisema kuwa yeye Afrika ya Magharibi na wengine wakisema Koffi ni Mcongo kabisa.
Wasikie wenyewe wanavyomchambua Koffi ikiwa ni pamoja na kumtaka aonyeshe birth certificate za mamake na babake kama kweli yeye ni mcongo, sio kuonyesha ana uraia wa nchi mbili tu pamoja na mengine, japo hii ilikua zamani kidogo 2001 lakini mpaka leo kumekua na mtazamo tofauti na hasi dhidi ya ukongoman wa koffi olomide, wazawa wa congo wenyewe wamekua wakidai koffi sio mkongo mwenzao bali ni mtoto wa mhamiaji kutoka west africa Benin ikitajwa ndio nchi ya asili ya koffi olomide, mfano kuanzia dk 7:20 utamuona na kumsikia Jb mpiana akiwataja wacongo waliowahi kupiga kwenye kumbi kubwa za ufaransa kama Zenith, Olympia na Bercy akiwataja kina Abeti masikini, Tabu ley, Papa wemba na wengine lakini akiliruka jina la koffi makusudi na mwandishi anapomuuliza mbona humtaji koffi Jb nae anamuuliza mwandishi “kwani koffi nae ni mcongo? mimi nataja wacongoman waliowahi kupiga kwenye hizo kumbi kubwa, lakini wapo wengi africa waliowahi kupiga kwenye hizo kumbi, kuna wa Benin, kuna kina Yousson N’dour na wengine wengi lakini wacongo ni hao niliokutajia…”
Na pia anasema ZENITH eza ya Mutu Te akiwa na maana zenith sio ya aina mtu, yeyote anaweza kupiga hapo.
dah wadau jb kaua mbaya,maanake anasema kama afghanistan,mamluki wa kiarabu ndio waliokua wanapiganisha vita ya ugaidi na kuipinza afganistan na hivyo hivyo wapo mamluki wa ki west africa kwenye muziki wa congo lakini itabaki kuwa sio wacongoman japo wanapiga muziki wa congo!
maneno mazito sana kaongea kwa wanaojua ku read btn the lines na wanaojua vizuri lingala,mii mwenyewe naibiaibia kwani nasikia kidogo lingala japo siwezi kuongea
nimeipenda hiyo, Congo big up
Duuuh….nahisi harufu ya Beef jipya kabisa tena bichi kuhusu JB Mpiana na Koffi Olomide,Ngoja tuone NINI KITATOKEA….????@LUBONJI
As soon as I believed about issues like: why this kind of data is totally free right here? When you publish a book then at the very least on marketing a guide you get a percentage, simply because. Thank you and superior luck on informing persons much more about this.
Incredibly wonderful website and fantastic and articles or blog posts.beneficial style, as share very good things with excellent concepts and concepts.