Sauti zilizotukuka za J.B. MPIANA ET PAPA WEMBA " LE CAVALIER SOLITAIRE "

Unapoongelea hawa manguli wawili Papa Wemba na JB Mpiana kwangu mimi kikubwa kinachokuja akilini ni sauti zao mahiri.

Kiukweli hii kolabo ni moja kati ya kolabo ambazo nilizifurahia sana na huu wimbo huwa nausikiliza kila mara na ulinogeshwa zaidi na ghani za Tutuu Kaludji mwishoni na ikumbukwe kuwa kipindi hiki Kaluji alikuwa yuko juu sana na Primus ndio walikuwa wameanza kuidhamini BCBG.

Je wewe unakumbuka nini?

Advertisements

2 Responses to Sauti zilizotukuka za J.B. MPIANA ET PAPA WEMBA " LE CAVALIER SOLITAIRE "

  1. Anonymous says:

    colabo ya ukweli.

  2. mwimbo huu ulikung’utwa guitar si la kawaida na ukichanganya na uchizi wa Caluji mziki ulinoga sana.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: