MCD na Atalaku Ferguson wajiunga na Mashujaa Musica

image

Anaitwa Saulo John ‘Ferguson’ RAPPER na MUIMBAJI mahiri nchini; LEO AMESAINI MKATABA WA MIAKA MINNE na MASHUJAA BAND:

Show ya utambulisho yeye na MCD itafanyika ijumaa tarehe 27 april pale pale BUSINESS PARK-victoria kijitonyama

image

Naye Mpiga tumba maarufu kwa jina la MCD ametwangazwa kuhamia kundi la Mashujaa Musica leo kwa mkataba wa miaka miwili ambapo atatambulishwa tarehe 27 April ndani ya ukumbi wa Business PARK-VICTORIA KIJITONYAMA

Mashujaa Musica wamekuwa wakijiimarisha safu yao ya uimbaji na sasa wameanza kuimarisha safu ya vyombo, ama kwa hakika kwa sasa upinzani wa Muziki wa dansi umerejea baada ya muda mrefu bendi kama Twanga na FM Academia kushika jahazi jambo lililosabababisha ufinyu wa mageuzi ya burudani.

Tunatumai huu hautakuwa upinzani wa nje ya jukwaa la muziki na  burudani na kuwa chachu ya mageuzi katika sekta nzima ya muziki wa Dansi.

2 Responses to MCD na Atalaku Ferguson wajiunga na Mashujaa Musica

  1. subira ali says:

    Amakweli kukulacho ki nguoni mwako! Mama Sakina na Asha Baraka kila mara tuliwaona pamoja pale leaders kumbe mnafki alikua anatamani position ya twanga. Kisicho riziki hakiliki kwa nini anamuangusha mwenzie kibiazhara. Haipendezi.

  2. Very wonderful website and excellent and articles.precious design, as share very good things with good strategies and concepts.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: