Blandine ya werrason, Wimbo usiopitwa na wakati.

Anaitwa LE ROI DE LA FORRET” NOEL NGIAMA WA MAKANDA a.k.a.WERRASON hii ilikuwa kipindi chake cha mwanzo cha kujitawala alipotoka na album yake ya Kibuisa Mpipa kama sijakosea maana hii ilikuwa ni Bonus Truck. Wakati huo bado akiwa na wataalamu wake kama akina Ferre na bado hajakimbiwa na wanamuziki wengi ambao kwa sasa wanatamba sana.

Wimbo huu aliuimba kwa mahadhi ya Congo Rhumba, mdau wangu Hadj le Jbnique (Mnazi mkubwa sana wa JB Mpiana)  ye alinikumbusha mbali sana kuwa album hii ilipikwa na mtaalamu wa Congo Rhumba ajulikanaye kama L.NZIMBI ikumbukwe kuwa huyu ndiye mpishi wa albamu ambayo mpaka leo inauza ya FEUX DE L’AMOUR” yakwake Jemedari SOUVERAIN LEADEUR YA BA WENGEE JB Mpiana ambayo aliitoa kama solo enzi kundi la Wenge Musica BCBG halijaparanganyika.

Huu ni moja ya nyimbo ambazo mimi binafsi Werasson amenifurahisha na kama ningepata nafasi ya kukutana naye na kumshauri ningemshauri a stick kwenye nyimbo hizi za taratibu.

Kitu inaitwa Blandine wakati huo wa Kibuisa Mpipa, Ni wimbo ambao huku kwetu hauku heat lakini ni moja ya nyimbo ambazo nazipenda sana kwa Werrason, Pia kuna vitu kama Koffi Ayiana ambacho niliwahi kukiandikia pia siku za nyuma. Kwa ufupi angalia nyimbo zinazombeba zaidi Werasson ni nyimbo hizi za taratibu zenye mahadhi ya Congo Rhumba ambayo Mkongwe JB Mpiana ni champion kwenye hizo najua ma werasonique mtabisha kwa hili lakini ni wazi na halipingiki.

Truck hii nilimsikilizisha Papaa Mabamba Abiud Maregesi weekend hii na akaniomba niiweke tena, Nimefanikiwa kumbadilisha huyu jamaa imani na mapenzi ya muziki pia ni maalum kwa Werasonique wooote Sadiq Tiger, Papaa Maendeka, Boss Chizenga, Moto Mkubwa Halid Mmanzi, Mdau wangu Steven na wapenzi wote wa Blog hii, Mukubwa Hadji Heshima kwako kiongozi na mnazi wa Wenge

Advertisements

12 Responses to Blandine ya werrason, Wimbo usiopitwa na wakati.

 1. Richard Malewa says:

  Mukulu Pius Le Phenomena Bloglist waaambie baelezeee vijana waelewe mambo ya Blandine na mengineo. Lakini lazima tukubali wote vitu vilvyokuwemo kwenye Kibuisa Mpipa yaani hapa vile vingine siyo Kibuisa Mpipa kama Kofi Ayiana etc na Vile vingine vya Titanic kama Serge Palm, Eifel Tour, vilikuwa MOTO CHINI. Hiyo ndiyo ilikuwa ALBUM ya Mwisho ya Wenge BCBG kunishika ukiacha ile ya LIVE ZENITH!

  Torekaaa Papa Pius

 2. […] Michezo. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0 feed. You can leave a response, or trackback from […]

 3. mambo unayoweka hapa ni kama zawadi kwetu Patron Pius Mzee,
  kusema ukweli mimi hua napenda sana slow za hawa wendawazimu wawili JB na Werra ,hii ya blandine pamoja na hizi hapa chini nyengine.
  1-http://www.youtube.com/watch?v=y2pyHFGYYIs&feature=related
  2-

 4. K'Odero says:

  Papa Pius naomba utuangushie hapa lyrics za huu wimbo ‘Blandine’ namna umekuwa ukifanya kwa nyimbo hizo zingine hapo awali

 5. Prince George Jr. says:

  Kwa vichwa hivi usitegemee nyimbo kuwa mbaya; Ngiama Makanda “Werrason”,Ferre Gola,Sesele Adjan,Serge Mabiala,Emelie Diese,Baby Ndombe,Ni full Vocalist hadi Raha.

 6. Abdallah Masinga Mgando says:

  Hakika JB Mpiana alikuwa nakila sababu za kulalamika kutokana na nung’uniko la huba alilolipata kutoka kwa Amida na Didi.
  naomba utupatie wimbo wa Clien du ceil ambao upo katika album ya Anti-terro. wimbo huu una tune ya wimbo wa African Jazz unaitwa Independent Chacha

 7. Anonymous says:

  numerous I Renault bandage yhttps://www.facebook.com/n/?email/ufi/click&action=comment&target=1043608552371796_1043658139033504&hash=AVJ0YLoctNrQ1eap&aref=1455007729692289&medium=email&mid=52b52d6238915G5af3749a6e49G52b5262dfae81G36G697c&bcode=1.1455010898.Ablk_yK7sPpDgEJi&n_m=maranduk@yahoo.com&lloc=email_ufi_comment&sig_t=1455010898&sig=AVIpapkEPJL39nPa Kimya kirefu.

 8. As soon as I believed about factors like: why this kind of information is without spending a dime right here? When you create a guide then not less than on selling a guide you get a percentage, mainly because. Thank you and great luck on informing people far more about it.

 9. I definitely delight in every small bit of it and I have you bookmarked to verify out new stuff of one’s weblog a should go through weblog!

 10. Sue Rhoad says:

  Thanks for your publication. What I want to comment on is that when you are evaluating a good on the web electronics go shopping, look for a website with complete information on important factors such as the security statement, safety details, payment methods, and other terms as well as policies. Often take time to see the help and FAQ sections to get a greater idea of how the shop operates, what they are able to do for you, and just how you can maximize the features.

 11. Admiring the dedication you put into your site and in depth information you provide. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same outdated rehashed material. Fantastic read! I’ve bookmarked your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

 12. Admiring the hard work you put into your website and detailed information you offer. It’s good to come across a blog every once in a while that isn’t the same out of date rehashed material. Fantastic read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: