KANUMBA ALIKIJUA NA KUKIPENDA SANA KIBAO HIKI..

Na Hadji Le JBnique

“naijua hii inaitwa Fimbu ya bakandja…..yaani bakora ya bakandja”-Haya ni maneno ya marehemu Steve Kanumba aliyoniandikia baada ya mimi na yeye kubadilisha maneno kwa njia ya e mail kuwahusu wanamuziki wa kike wa kizazi kipya katika muziki wa lingala,hapa nawazungumzia Cindy Le Coeur anaefanya kazi na Koffi Olomide akiwa kama artistic director wa kundi la QL la Koffi Olomide na Meje 30 anaefanya kazi mamaa Mokonzi Mbilia,Nimeyakopi na kuyaweka hapa bila kuhariri neno hata moja lengo likiwa ni kumkumbuka mdau mwenzetu huyu kwenye tasnia hii ya muziki wa LINGALA

R.I.P.” KANUMBA THE GREAT PIONEER MOTO WA VOLCANO” kama ulivyopenda kujiita mwenyewe,mbele yetu nyuma yako ulale pema kamanda 

2 Responses to KANUMBA ALIKIJUA NA KUKIPENDA SANA KIBAO HIKI..

  1. Hadj le Jbnique says:

    marekebisho kidogo,meje 30 anafanya kazi na mamaa mokonzi tshala muana na si mbilia kama nilivyoandika,kumradhi kwa usumbufu utakaojitokeza kwa hilo.

  2. mkemimi,kigoma,ujiji says:

    kweli huyu alikua mwenzetu,anazijua nyimbo za ndani kama hizi ambazo hata air time kwenye redio stations zetu huwa hazipati

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: