Wamkumbuka Bibisiya Mfwengi?

Anaitwa Bibiciya Mfwengi huyu aliwahi kuwika sana akiwa na MAison Mere akitokea kwa Mopao Mokonzy Koffi Charls Olomide, kwa sasa Bibisiya amerejea nyumbani kwa Mopao. Mwanadada huyu nakumbuka akiwa bado na Werason alipokuja Dar nilikuwepo kwenye ile show alifanya mambo balaa, naomba umuangalie hapa uone balaa lake.

6 Responses to Wamkumbuka Bibisiya Mfwengi?

 1. Stivin says:

  Kipindi hicho Werra alikuwa na timu ya mashambulizi ikiongozwa na Gisele Yamamoto, Anya Star, Linda Mundele na Bibicya Ronaldinho.

 2. Hadj Le Jbnique says:

  Anatisha….!

 3. witness says:

  vp wa zim huk

 4. Anonymous says:

  kweli alikuwa noma balala

 5. Fairly particular he’ll have a very good read through. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: