Kanumba na Lulu waliitana Mopao na Cindy … unajua maana yake?

image

Ukifuatilia Tweet Page za Kanumba na Elizabeth Michael aka Lulu utaona kuwa walijaribu kutumia majina ya Mopao na Cindy labda kunogesha chat yao au katika kupoteza maboya wafuasi wao kwenye mtandao huo wa kijamii au labda kujifananisha na nguli ambaye Kanumba mwenyewe aliwahi kukiri kuwa anampenda sana Koffi Charles Olomide Mopao Sakonzy, huku Kanumba akimuita Lulu Cindy na Lulu akimuita Kanumba Mopao.

Kanumba alikuwa mpenzi mkubwa sana wa Bolingo na jina la Mopao ni jina la Koffi Olomide ambaye mashabiki wanamuita Mopao Mokonzi. Koffi amekuwa kwenye uhusiano wa kimapaenzi na muimbaji wake wa kike anayejulikana kwa jina la Cindy Le Coeur ambaye kwa sasa ndiye mke wake kipenzi. Koffi wakati akiaanza uhusiano na Cindy ilikuwa ni siri na iliandikwa sana kwenye vyombo vya habari lakini kila mara walipoulizwa walikana mpaka kwenye Birthday ya Cindy ndipo Koffi alipovunja ukimya na pale alipomzawadia gari aina ya Jaguar baba yake na Cindy (Gonga hapa kuisoma) na mpaka wa leo Cindy ambaye anakuja kwa kasi kwenye wanamuziki wa kike na amejizolea umaarufu kwa nyimbo zake za Koffi Chante Cindy ambapo amekuwa akizirudia nyimbo za taratibu za Koffi tangu enzi hizo.

Sasa baada ya kukueleza hayo soma Tweet za mwisho za Kanumba “Mopao” na Lulu “Cindy”.

image

image

image

Compilation ya Tweet hizi ni kwa hisani ya Shafi Dauda Blog.

Mamaa Cindy Olomide

Nimewachagulia wimbo huu hapo  ambao koffi olomide na cindy wake walimuimbia Mamaa EDITA OMARI BONGO au EDITA SASOU NGUESSO ambae alikua mke wa presidaa OMARI BONGO wa Gabon na pia alikua ni binti wa kumzaa wa Rais DENNIS SASOU NGUESSO wa CONGO BRAZAVILLE, huu ni wimbo wa majonzi baada ya kifo cha maman EDITA. Natumai kwa Post hii nitakuwa nimekujibu mdau wangu  Mkemimi, wa Kigoma ujiji. Shukrani sana kwa kuwa pamoja kipindi hiki cha majonzi.

83 Responses to Kanumba na Lulu waliitana Mopao na Cindy … unajua maana yake?

 1. Anselym Mundy says:

  Kiukweli nimefarijika sana na uandishi na uchapakazi wa watu wa Blogs mmekuwa wabunifu na kutupatia habari nyingi na kwa wakati kipindi chote hiki cha msiba huu.
  Hii habari ni ya msiba lakini ina burudani ndani yake huu ndio uandishi si kutupa majonzi tuuuu mpaka tunakumbuka na dugu zetu walishakufa huko nyuma. lazima tukubali mengine yaendelee na hili limeshatokea

 2. Kash says:

  My condolecence to de family of steve,we love u but God loves u more,R.I.P

 3. JUMA LUNGO says:

  Ni hatar kiu bin adam kwa lifo cha kanumba je nikweli kwamb lulu amemuua kwa sumu cfaham ila “life all”

 4. Anonymous says:

  kanumba msamehe lulu maana naye njia yake ni moja atakfuata 2.

 5. Esther D' says:

  sanx guys 4gvng us a time 2 refresh our mind, bt u hav 2 kno we galz wia xo cruel yan.. n Wanyama sn, ts xo pain. R.I.P kanumba

 6. Anonymous says:

  mi mgeni apa…am touched na kifo cha kanumba,,,,bt it is so unwise 4 d society to show anger n plan revenge to lulu,she is just a little,n fighting in relatshp is such a normal thing,,so lets justice play to both sides.

 7. Didier says:

  Sikia Pius. Huyu Kanumba alikuwa anamuhusudu Koffi mpaka kujifananisha naye kwa kujiita Mopao Mokonzi na kumbatiza Lulu Cindy Le Cœur, je wewe kama shabiki Wa Kanumba unaelewa kwa nini yeye Kanumba kajiita hivyo?

  Picha halisi hapa ni kuwa Koffi Olomide ni pedophile na dunia yote inatambua hivyo. Si shaka kwa Kanumba kujiita Mopao kwani aliyokuwa anafanya yeye na Lulu ni sawa na yale ayafanyayo Mopao Mokonzi. Ukweli ndo huo japo mtabisha!

 8. peter says:

  MIBALE NA MIBALE!!!

 9. Joachim says:

  Lakini Pius huyu jamaa Didier anayoyasema yana ukweli. Ukiangalia vitendo vya kanumba ni sawa tu na mentor wake (Koffi Olomide) kuchezea vitoto vidogo na kuumiza midada ya watu kwa kulala nao ili awape ajira kwenye sinema zake. Ni hatari sana.

 10. anonymous says:

  ni masikitiko kweli kuusu kifo cha kanumba.He was like my idol ju sinema zake tamu…Ikiwa ni ukweli kama yeye alikuwa pedophile, its a pity for him.Si vizuli kuumiza roho ya mwengine.I say so coz my heart has been hurt so much by boys.Lakini singe react kama alivyo vifanya Lulu..anyway I do understand her.Kuna ma vulana wengi wanakuwa na tabia hiyo ya kuvunja mioyo za mabinti..Thats will be a lesson to all of them..Kila mtu ajue kwamba ana siku yake.Utawaumiza wengi lakini ujue kama watakutofoatofoa muda wako ukifika

 11. Ronsard says:

  Am Ronsard from CONGO-DRC,w miss u Kanumba.

 12. […] Mwanadada huyu ambaye mapenzi yao kwenye sanaa yalipelekea mcheza sinema maarufu hapa Tanzania Steven Kanumba marehemu kujifananisha na wawili hawa Koffi na Cindy na yeye na Lulu ambaye yuko rumande sasa […]

 13. Anonymous says:

  Jaaaaman am xo xaad til 2dy 4 da death v kanumba n may his xoul rest in peace(rip)olwyz gona rmbr u 4 da kynd hrt v brng up new talents

 14. Iddy says:

  Mambo poa nipo shwari

 15. isayamomba says:

  mko tisha sana mnaoandaa i blog aiseeeeeee,no comment big up xana

 16. RG TANGO says:

  NAMKUBALI SANA SK R I P MUNGU AMLAZE PEMA PEPON

 17. Anonymous says:

  hongera kwa kuandaa pg hii.

 18. Andrea msigwa says:

  MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI MAREHEM MPENDWA STEVEN KANUMBA AMEIN.

 19. Fedrick andrea says:

  Hongera kwa kutufumbua macho,hongera sana waandishi brog

 20. Sada says:

  Mim cmpendi hata kidogo lulu.katoto kadogo kanajiingiza ktk mapenzi hasa ukiangalia amefanya mahusiano ya kimapenzi na kanumba.sio siri ananichefua sana.

 21. Anonymous says:

  Na mkubali sana kanumba na mungu amlaze pema, we love you so much atuto kusahau. by derrick from DRCongo

 22. Derick says:

  Na mkubali sana kanumba na mungu amlaze pema, we love you so much atuto kusahau. by derrick from DRCongo

 23. Anonymous says:

  SHUKURANI ZANGU NAZITOA MUNGU AKUBARIKI

 24. Rayyan kassim says:

  Kanumba tunakupenda sn ila mungu amekupenda zaidi dah cio cr inauma sn bat i can say that mungu ailaze roho ya marehemu pepon

 25. Anonymous says:

  Vidio live pley

 26. Anonymous says:

  nampenda sana lulu one lv lulu

 27. ABDULLATIF NYONI says:

  ha2to mssahau kanumba coz alikua ana2pa raha kwakweli mungu amlaze mahala pema peponi amin

 28. Anonymous says:

  Lulu na mkubali sana lakini kwanini kwanini kamiya Kanumba.

 29. Anonymous says:

  Ni nzuri inapendeza lkn mhh

 30. Baraka nac said says:

  Dah,thanx much 4 your news. R.I.P STEVE WE MIC U BRO.

 31. Omary betero says:

  Mimi kama kijana naitaji changamot ya hali ya juu kukalibi haya ya ukimwi

 32. I’m not that much of a online reader to be honest but your sites really nice, keep
  it up! I’ll go ahead and bookmark your website to come back down the road. Many thanks

 33. Anonymous says:

  Mm namkubali sana lulu ila m? 4: HABELI

 34. deleted says:

  Kazi yamungu haina makosa yamwanadamu inamakosa mungu ailaze roho yamalehem KANUMBA pema peponi amee 4: HABELI MAKIDYULA

 35. Anonymous says:

  mungu ailaze mahali pema peponi kanumba nampenda sana ila mumgu kampenda zaidi rest in peace bro mungu ampe roho ya ujasiri lulu its me petty.

 36. 24 june 2013 says:

  Kanunba aliacha wa toto wangapi?

 37. I do believe all the concepts you’ve offered to your post. They’re really
  convincing and can definitely work. Nonetheless,
  the posts are too brief for newbies. May you please extend them a bit
  from next time? Thank you for the post.

 38. Anonymous says:

  mbona hatma ya elizabeth michael lulu, imestishwa hatuisikii kwenye vyombo vya habar wala sehem yeyote ile imekuwaje? Mimi adam maglas wa arusha.

 39. moureen sabugo says:

  Ndo kashatoka lulu, unafikiri kuna kesi hapo?? kweli aliekufa kafa…. lakin mwisho wa cku tumwachie mung yote mana yeye ndie mwamuz na ndo mpangaj wa yote..

 40. Anonymous says:

  KI UKWELI WALIKUWA WANA MAUSIANO YA KIMAPENZ

 41. Anonymous says:

  KI UKWELI WALIKUWA WANA MAUSIANO YA KIMAPENZ ME GREGORY PHILIP

 42. Anonymous says:

  Jaman 2cpende kujudge coz hata cc 2liobk ha2jui ya kesho ye2,so we should pray 2 kanumba.

 43. MOSES TEMBA says:

  KANUMBA TUTAZIDI KUKUMBUKA LAIT KAMA UNGEKUWA HAI UNGETUPA UKWELI JUU YAKIFOCHAKO KIMESABABISHWA NA NANI? KATI YA FREE

 44. ndjovu kiyana says:

  nilimpenda sana kanumba alikuwa mwenye akili sana mungu amlaze mahalipema peponi

 45. JOSELINE says:

  NAWATAKIA UMAKIN WENU MUENDELEZE KUTOA SILI KUBWA ZA MARAFIKA KAMA HAWA

 46. shaha musa says:

  omama!

 47. shaha musa mbwana says:

  kanumba msamehe lulu kwani hajali aina kinga lkn mbele yako nyuma yetu.

 48. nawaomba simba wamrudishe shomari kapombe

 49. jeremia baha says:

  taaa na hawa walkua wakali

 50. Anonymous says:

  pouwa kaka shafi

 51. kanumba alipendwa na weng

 52. Anonymous says:

  Rest in Peace Nguli wa filamu Bongo

 53. No 1 can replace u Kanumba, lv u xo mch n rest in pc.. ‘lulu punguza mtandao kwamana dahh!!

 54. No 1 can replace u Kanumba, lv u xo mch n rest in pc.. ‘lulu punguza mtandao kwamana dahh!!
  Happy Maricery 4m Arusha

 55. Manka K says:

  nakupenda kanumba rest in peac men.

 56. Anonymous says:

  namtakia maisha mema yenye amani tele

 57. Aka says:

  Pamoja na kwamba waliongea meng bt dem katoka na anakukula unga kama kawaida. dah..! hii ndo bogo ye2 bwana R.I.P my bro

 58. Anonymous says:

  Natakanijuwe kifo cha kanumba

 59. Godwin Moshi says:

  dah,kwa kweri niliguswa sana na kifo chake becoz ninandoto kama zake kanumba my bro R.I.P pengo lako nitaziba mungu akipenda

 60. Anonymous says:

  Kanumba Ni Kweli Alikua Na Watoto

 61. Denicy Temu says:

  Nasemaje simulia@sana omba ya sikukute na usimuhukum mtu kwa uyasikiayo muhukumu kwa uyaonayo Jah Guide akuepushe na moto wa milele chalii yangu

 62. Anonymous says:

  JINSI AKUJIUNGA

 63. Du!huu lakini kuna ukweli wowote kwamba kanumba arikuwa freemasoni au ndo majungu yetu sis wabongo

 64. JOSHUA BOY says:

  UPENDO WA DHATI HAUWEZI KULINGANA NA KIFO,HIVYO PIGAMOYO KONDE UTATIMIZA LENGOLAKO BY JOSHUA FROM MPANDA KATAVI

 65. varecious says:

  we dnt have anything bt to say will miss u our brother steven kanumba

 66. Anonymous says:

  kado.nakupenda saana.kanumba

 67. hild.Raimond says:

  vizuri,sana

 68. I never discovered any attention-grabbing write up like yours. I would like to say magnificent blog! I am trying to learn more on this issue. I am continually browsing online for tips that can help me.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: