Liberez live ndani ya Boat

Baada yauwanja wa burudani kugubikwa na wingu zito la kifo cha ndugu yetu Kanumba ambaye amehitimisha siku zake 10321 jana pale Kinondoni Makaburini leo tugeuke kwenye burudani yetu kama kawa kama dawa.

Huwa na jaribu kuwaza je ingekuwaje Congo wangekuwa na bahari maana jamaa wanapenda starehe ajabu, pichani ni JB Mpiana na kundi ake la Wenge BCBG wakitumbuiza ndani ya tamasha la Avec Inon nadhani ndivyo linavyoitwa. Mukubwa Hadji muzee wa Mapezi Club sikiliza kuanzia 1:06 Sikia jinsi jamaa anavyoimba ni balaa.

8 Responses to Liberez live ndani ya Boat

 1. Eric Tisho Ekaset says:

  let me know latest news from JB Mpiana bcbg

 2. piusmickys says:

  Stay Tuned here Eric you will gwt updates soon…!! Mean while enjoy

 3. majonzi says:

  Kifo cha Stevean Kanumba kimetupa majonzi makubwa watanzania

 4. Hadj Le Jbnique says:

  Asante sana kaka,1:06 nimemsikia sakoko analia hapo!hiyo ni hazina ya bcbg kaka

 5. peter says:

  UMETUACHA LAKINI HISIA ZETU ZIKO NA WE!! ULIJITAHIDI KUGUSA HISIA ZETU NA ZIMEFIKA KWETU NI VIGUMU KUKUSAHAU NA UTEUACHIA FUNZO KUBWA SANA!! KIPAJI HUTOLEWA NA MUNGU KWAAJILI YA WANADAMU NA VIUMBE WOTE!!

 6. I believe that avoiding highly processed foods will be the first step to help lose weight. They will taste great, but prepared foods contain very little vitamins and minerals, making you take in more in order to have enough power to get with the day. For anyone who is constantly ingesting these foods, converting to whole grain products and other complex carbohydrates will let you have more strength while consuming less. Great blog post.

 7. Once I thought about matters like: why such information and facts is for free right here? Any time you create a book then no less than on marketing a book you will get a percentage, because. Thank you and very good luck on informing individuals more about this.

 8. I think this is certainly an informative post and it truly is knowledgeable and quite helpful. I would prefer to thank you for the efforts you have got made in creating this short article.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: