Mh. Rais Kikwete ahani msiba wa Kanumba

image

Rais Jakaya Kikwete akiweka saini kitabu cha Maombolezo cha Msanii Marehemu Kanumba nyumbani kwa marehemu Sinza baada ya kufika huko mchana wa leo.

image

Rais Kikwete akibadilishana mawazo na mmoja wa waratibu wa shughuli ya Msiba wa Marehemu Kanumba mara baada ya kutia saini kitabu cha Rambirambi nyumbani kwa marehemu. Rais Kikwete ni Rais pekee ambaye amekuwa karibu sana na wasanii ukilinganisha na wengine waliotangulia. 

Baadhi ya wananchi wametoa maoni yao na kukipongeza kitendo cha Mheshimiwa Rais kuhani msiba na kuonyesha kuwa yupo karibu na watu wake. Mpaka sasa viongozi kadhaa wameshahani msiba huo akiwemo Waziri Mkuu Mheshimiwa Pinda, Mawaziri na wabunge kadhaa.

Advertisements

2 Responses to Mh. Rais Kikwete ahani msiba wa Kanumba

  1. Bahati senkana! says:

    Muheshimiwa rais anastahili pongezi kwa kuwa karibu na wananch wake ktk matizo mbali mbali.

  2. Anonymous says:

    ongera mh.kwa kuonesha ni jinsi gani upo pamoja na watu wako mungu akuzidishie na upendo kwa taifa lako. Aminn

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: