R.I.P BRODA

KANUMBA2

image

Huyu ndo mdogo wake Kanumba akìhojiwa ambapo amekiri kuwa Lulu alikuja nyumban akaingia chumban mara akasikia majibizano then Lulu akatoka akamwambia mdogo wake kanumba kua kaka ako ameanguka alipoenda ndan akamkuta kanumba kalala chin aliporud sebulen hakumkuta LULU. Picha na Frank JM.

3 Responses to R.I.P BRODA

  1. mamy says:

    Owwww kanumba may ur soul rest in eternal peace..

  2. chaby says:

    inna lillahi wainna ilayhi rajiuuun, kwakweli ni masikitiko na kanumba alipendwa na wengi. tumuombee kwa mungu amsamehe makosa yake na kumueka mahala pema. amen

  3. Anonymous says:

    DAR LIN NI TUKIO BAYA SANA KUJIRUDIA KATIKA AKILI YANGU

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: