Wera Magic at Zenith

Mbwembwe za show za Live ni swali huwa ataingiaje? atavaa nini ? na ataanza na wimbo gani… Kiukweli huwa namkubali sana Werason kwenye LIVE perfomance anaiweza sana ni mzuri kwa Sebene. na mpangilio wa jukwaa zima kwani huwa jamaa anajipanga sana kiukweli na kuchangamsha jukwaa.

5 Responses to Wera Magic at Zenith

 1. Predator says:

  Werrason is the best live performer in Congolese music.
  Walikuwa wanasema eti Concert ya J.B. Mpiana Olympia ilikuwa the biggest of the century lakini 2005-06 Werrason alivuta the largest concert in Congolese music history huko Kikwit iliyohudhuriwa na karibu watu 600,000 na inasemekana ilifunika ile ya J.B. Olympia. Ujue ya kwamba bado hatujataja zinginezo concert za Werra za ajabu kama Zenith na Stade de France

 2. Stivin says:

  Hiyo ya Olimpia JB alikusanya watu wangapi?

 3. Stivin says:

  Hiyo ya Kikwit was the largest concert ever in Africa!

 4. hapa kikosi kilikua kimekamilika na tutawakumbuka sana hawa vijana wengine wa werra ambao wamepotea

 5. Fairly particular he’ll possess a superior study. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: