Papito Live ya Olympia

Mdau wangu Mamaa Flower Titanic ananiuliza yule mtoto kwenye hii concert ya Olyimpia alikuwa anacheza ni mtoto wa nani? Dada yangu yule ni mtoto wa D.Dimonukeni (I hope sijakosea jina kuandika) mtoto alicheza sana na hii ilikuwa ni moja ya show zenye mafanikio sana za Wenge BCBG. angalia kisha unaweza na wewe sema.

Kiukweli nikiangaliaga show hii kwenye liblary yangu huwa najikuta namchukia Mpela kwa kutoka Wenge na namlaani sana mshauri wake kwa kweli, atabaki kuwa ni mmoja wa vijana niliowapenda sana ndani ya BCBG.

Advertisements

2 Responses to Papito Live ya Olympia

  1. Hadj le Jbnique says:

    Hukukosea sana anaitwa Damien Dimonekene huyo ni producer wa video mbalimbali za wanamuziki wa congo

  2. Stivin says:

    Hiyo ndo BCBG! ilikufa walioondoka Makaba, Blaise na Mpela!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: