CHAZ BABA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MASHUJAA BAND.

image

Juzi Tarehe 27 march 2012 Wanamuziki wa Mashujaa Musica walimchagua kwa kishindo Chaz Baba kuwa Rais wao ktk uchaguzi uliokuwa wa uwazi na haki. Baada ya wasimamizi wawili ambao ni wadau wa Mashujaa,na waliopendekezwa na Wanamuziki wenyewe wakisaidiwa na Mnenguaji mmoja Swty Beby walihesabu kura kwa uwazi na hatimae kutangaza matokeo.Chaz Baba alishinda kwa kupata kura 19 kati ya 26 zilizopigwa.

Ratiba yao ya kila siku.

image

Advertisements

One Response to CHAZ BABA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MASHUJAA BAND.

  1. Anonymous says:

    Congratulations Chaz. Kijana huyu alinifurahisha sana alipoonyesha dalili za mapemamapema za kuwa kiongozi wa bendi siku moja, wakati huo akiangusha talanta kwenye album ya Password

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: