Très Impoli – Franco & le T.P. O.K. Jazz Akiwaasa na tabia zenu mbaya!!

Na Shaibu Mwambungu

Mbinga Ruvuma

CHORUS: Ozalaka nayo Très Impoli, Ozalaka nayo Très Impoli, Ozalaka nayo Très Impoli mpo nini?

*Umekuwa mshenzi, umekuwa mshenzi umekuwa mshenzi kwa nini unafanya hivyo?

Mpo na nini ozalaka bongox2, okoloba likambo yo otala sima te, Okoloba likambo yo obanga bato te Mpo na nini ozalaka très impudique, okokota nandako ya bato oyoka soni te Mpo na nini osalaka bongo.

Kwa nini unafanya hivyo? Unazungumza jambo hujizuii, unazungumza huogopi watu, Kwa nini unakuwa mtovu wa adabu? Ukiingia nyumbani kwa watu huoni aibu/hujizuii?

RPT CHORUS

Mpo na nini ozalaka bongo, Okokota na ndako ya bato obeta portete, Olekani direct na chambre a coucher, Mpo na nini ozalaka Très Impoli, Mpo na nini osalaka bongo? Osokoli monoko te olingi osolola yo na moto Mpo na nini ozalaka maleleve?

*Kwa nini unafanya hivyo? Ukiingia nyumbani Kwa watu hubishi hodi, Moja Kwa moja unaelekea hadi chumba kulala, Kwa nini unakuwa hivyo, Husafishi kinywa unataka kuzungumza Na mtu, kwa nini umelelewa vibaya?

RPT CHORUS

Mpo na nini ozalaka bongo? Okokota na bureau ya moto ekoti na moto, Okokota na bureau ya moto cigarette na monoko, Ye anga na amelaka naye cigarette te, Okomi kuna okamati cendrier paquet ya cigarette nayo, Mpo na nini ozalaka bongo? Okokota na bureau ya moto okomi kotanga mikanda.

*Kwa nini unakuwa hivyo? Unaingia ofisini Kwa mtu Na kofia kichwani, unaingia ofisini Kwa mtu Na sigara kinywani, Yeye huwa havuti Na kufanya kila kitu kuwa mahali pa kudondoshea majivu ya sigara, Kwa nini unakuwa hivyo? Ukiingia ofisini Kwa mtu unaanza kusoma barua za kazi.

RPT CHORUS

Mpo na nini ozalaka bongo? Okokota na ndako ya moto osanuli Suki te, Okosenga ye kisanola tango okoti na ndako, Mpo na nini ozalaka maleduque?

*Kwa nini unakuwa hivyo? Huchani nywele unapoingia nyumbani kwa mtu unaomba chanuo, kwa nini umeelimishwa vibaya?

Mpo na nini ozalaka nayo très impudique? Moninga bokola naye akomi mokonzi, Okosenga ye mbongo na kati ya defile,

*Kwa nini unakuwa huna adabu/aibu rafiki yako uliekua naye amekuwa bosi wewe unamuomba pesa wakati wa mikutano kwa nini unakuwa hivyo?

RPT CHORUS

Mpo na nini ozalaka bongo? Okokota na ndako ya bato olongoli sapato, sosete etoboka sosete solo, mpo na nini ozalaka maleleve, Okoti na ndako ya bato oti makolo na mesa, Nzoka ezali mesa bato baleilaka mpo na nini ozalaka maleleve? Mpo na nini ozalaka bongo?

*Kwa nini unakuwa hivyo? Ukiingia nyumbani Kwa watu wewe hutoa viatu, soksi zimetoboka Na kutoa harufu mbaya, Ukiingia nyumba kwa watu unaweka miguu juu ya meza Kumbe meza hiyo hutumika kwa chakula.

Mpo na nini ozalaka bongo? Owuti kolala soki epai nini ee Moninga azalaka esika olali oleki direct na Frigo, Moninga azalaka na programme naye ya kolia, Tala ndenge biloko ebebi sika oyo ekobanga koleila ye bilokoti na zhoo

*Kwa nini unakuwa hivyo? Ulikolala haijulikani wapi wewe huenda kuwasumbua marafiki zako wakufungulie, bila kusita we hufungua friji na kula vilivyomo bila kujali utaratibu/bajeti ya wenzio.

Mpo na nini ozalaka bongo? Okokota na ndako ya bato olongoli simisi, Motoki etondi yo nase ya masasamba okoluka otombola loboko bato bayoka solo Mpo na nini ozalaka mal appris?

*Kwa nini unakuwa hivyo? Ukiingia nyumbani kwa watu unatoa shati, Jasho limejaa makwapani kote, na unanyanyua mkono watu wasumbuke kwa harufu kwa nini umefundishwa vibaya?

Mpo na nini ozalaka bongo? Moninga adefis yo mbeli naye ya mason, Oyekoli mosala obandi kofinga ye mpo nini osegenaka na miso ya bato te?

*Kwa nini unakuwa hivyo? Rafiki yako amekukopesha mwiko wa kujengea, Umejifunza kujenga unaanza kumtukana kwa nini hujizuii mbele ya watu?

RPT CH:

Mpo na nini ozalaka bongo? Okoswana na miso ya bato oyoka soni te, Okoswanisa mwasi nayo liboso ya baninga okofinga ye makambo bato bakoko comprendre te mpo nini ozalaka très grossier?

*Kwa nini unakuwa hivyo? Unagombana mbele ya watu, Unamkorofisha mkeo mbele ya marafiki zako na kumtukana matusi ya nguoni/ndani bila kujizuia kwa nini unakuwa na matusi mazito?

Ozalaka nayo Très Impoli eee, Ozalaka nayo Très Impoli eee, Ozalaka nayo Très Impoli mpo nini?

Mpo na nini ozalaka bongo …

Advertisements

18 Responses to Très Impoli – Franco & le T.P. O.K. Jazz Akiwaasa na tabia zenu mbaya!!

 1. Benbella O. says:

  Vizuri

 2. Gaby Celestine says:

  Pius umekosea kidogo katika translation. Tres Impoli kwa kiswahili ni kutokuwa na adabu na si mshenzi.

  • Tim says:

   It is very true!Tres Impoli translates to very impolite and so cannot translate to mshenzi!!In other words he is asking why are you impolite!But all in all the other translations may then be accurate.

 3. RICHARD MALEWA says:

  Big up Mzee wa Mbinga

 4. Anonymous says:

  hapo sawa bingwa..

 5. Shaibu Mwambungu says:

  Asante kwa wadau wote wa Baraza hili kitachopatikana kitawasilishwa bila hofu.

 6. brian says:

  thanks alot. asante sana. unaweza translate pesa position pia

 7. AROD says:

  Vyakale dhahabu ni namkubali mzee luambo.

 8. Ikileng says:

  Nice translation sir. Soki olingi, pesa biso translation ya ‘Attension na SIDA’

 9. Moses says:

  I really treasured getting the lyrics… his music leaves a trail i say.. Long live franco lwambo

 10. Tim says:

  I would wish for you to translate “Bina na ngai na respect”.

 11. Jabir Ahmad says:

  FRANCO BABA WA MZIKI CONGO ATASAULIKA KAMWE.MUNGU AMPOKEE NGULI UYU PEPONI.

 12. Thomas M. says:

  Thanks A Lot For The Wonderful Job,at Least Now I Understand The Meaning Of This Beautiful Song,tres Impoli.

 13. napenda translation inanisaidia kuelewa mziki wa enzi ulivyokua ukisema

 14. zedeck wesusa says:

  good one. give 12600 letters a try.

 15. cornelius munauiw says:

  Huu wimbo unajumuisha tabia zetu ghushi.Aghalabu tungekuwa na masikio ya kusikia na kutenda,basis tungebadili.Ahsante kuwa kazi mwafaka.

 16. Moses Kiplimo a.K.a MADILU SYSTEM. says:

  that lyrics is fabulous indeed.
  i need the lyrics of sans papier

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: