Amani James, Kinda mtanzania anayeota kuichezea Taifa Stars.

image

Amani akikata mbuga uwanjani

image

Amani akiwa na wachezaji wenzie wa timu ya Trosvikk Football Club.

Anaitwa Amani James ni mtanzania anayeishi fredrikstad huko Norway na Baba yake mzazi, Amani kwa sasa ana miaka 14 na anacheza timu ya TF Club huko huko Norway.

Kijana Amani James ambaye ni mtanzania (14yrs) anayeishi Norway anachezea timu ya Trosvikk Football Club na sasa amechaguliwa kwenye timu ya Taifa ya chini ya miaka 21 (under 21.) Amani alishindwa kuja nchini kwenye mapumziko na baba yake Mzazi Dickson hivi karibuni kwa kuwa alikuwa kwenye mashindano nchini Spain.

Amani amekuwa mfungaji bora wa 2011 kwa magoli 32, na alikuwa mfungaji bora alipochezea team inaitwa Oppsal G96 kwa magoli 29. Binafsi anasema kuwa ndoto yake ni kuja kuichezea timu ya Taifa (Taifa Stars). Amani kwa sasa ana miaka 14 lakini ana mafanikio makubwa kwenye soka ambapo binafsi anasema kuwa hataki kubadili na kuukana utanzania kwani akifika kuichezea Taifa Stars na kuitumikia timu yake kiu yake itatimia.

Tutawaletea habari zaidi wiki ijayo pamoja na video za kijana Amani James kwenye mechi mbali mbali alizochezea, kama una lolote wasiliana na Spoti Starehe.

Advertisements

8 Responses to Amani James, Kinda mtanzania anayeota kuichezea Taifa Stars.

 1. Anonymous says:

  safi sana thats the way to go Uzalendo first, Mungu akubariki ufike mbali uchezee ligi kubwa na uje kuliokoa Taifa na ukata wa magoli

 2. Anonymous says:

  pouwa sana kijana keep it up!

 3. Anonymous says:

  kweli kijana anaonekana ako vizuri, akaze kamba tuuu, naona katika hizo picha anawapeleka speed sana wapinzani wake. karibu nyumbani utetee taifa lako in future……mumngu akusaidia na akupe hafya bora..

 4. Dogo hatakama ukija bomgo uczichezee tm zabongo miyayushow

  • Anonymous says:

   huyu kijana nilimuona kwa match kadhaa ghotia cup sweden,mimi nikiwa assistant refaree, na nilipata bahati ya kusema naye mawili matatu. yuko vizuri sana.ana tecknic na speed. anaonekana ana football talent,bpia katulia sana.
   juvenal
   malmo.

   • Anonymous says:

    yep. namkumbuka kumbe ni kjana wetu mtz juve. mi nilijua mnigeria au laa, mtoto kichwa huyu. ako vyema.
    maida kanza

 5. Fairly certain he will possess a good read through. Thank you for sharing!

 6. Kiesha Lyn says:

  I undoubtedly delight in every single minor little bit of it and I’ve you bookmarked to examine out new things of the website a must read blog site!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: