RECTO VERSO Ya Wenge BCBG

Samahani sina Video yake na kuipata You Tube imekuwa ngumu kidogo.

JB: Tongo etana koyebisa ye…………

JB: Na sauce bakotiaka un peu de laurier, Basusu bakobakisaka big magic, Kasi na bolingo batiaka nini eeh, Mpo na convaincre motema ya Ada Bombole, Na Meriter pardon, Nazala liberer.

*Katika mchuzi huwekwa biringanya kidogo, wengine huongeza chumvi kidogo, Lakini nini hutiwa katika mapenzi, Ili niuleweshe moyo wa Ada Bombole, Nipate msamaha, Niachiwe huru.

Ekomeli nga soni mingi kotangaka kombo ya moto alingi ngai te, Raison nini nainventer na meriter pardon nazala acquitter.

*Imenijia taabu/aibu kubwa kutaja jina la mtu asiyenipenda, Nibuni sababu gani ili nistahili msamaha Niachiwe huru.

Bolingo elekaki nga ndelo Yango aprovoquer Tshimbondation, Soki tosalaki ngele Mbele tokomi na situation oyo te, Bolingo ezalaki na recto ekomi na verso naye zoba, naye zoba maama naye zoba.

*Mapenzi yamenizidi kiwango Yamenizulia vurumai, Tungelifanya uaminifu, yasingetokea haya, Mapenzi yametoka upande mmoja wa sarafu na kuelekea upande mwingine, Nimekuwa chizi nimekuwa chizi maama.

JB: Mukubwa Shabani yo na Engambe Edo, Albert Bombito bolakisa nga hata kelasi oyo bayekolaka bolingo, bozuela nga hata moniteur, alakisa nga hata alphabet ya pamba………

*Mukubwa Shabani wewe Na Engambe Edo, Pamoja Na Albert Bombito nionyeshe iliko shule ya mapenzi, Nitafute mwalimu atakayenifundisha angalau herufi.

Oyo kotonga immeuble ya basouci na kati ya motema na nga, Et pourtant nahorologe ya motema, Tozalaki nano na minuit yo oboyi nga

*Umeweka thamani matatizo moyoni mwangu, Na kwenye saa ya moyo ilikuwa saa sita usiku uliponikataa.

N’habitude Africaine, koboya moto na butu ezali mabe Ada Bombole, Tala nakomi lokolo moto ayaki kosala interim na kati ya motema nayo.

*Desturi za kiafrika kumkataa mtu usiku vibaya Ada Bombole, Ona nimekuwa kama mtu aliyekuja kufanya kazi ya muda moyoni mwako.

Wapi thermometer ya bolingo mpo oyeba degree na nga, Nakomi lokola moto ayaki kosala piquenique na kati ya motema nayo.

*Kiko wapi kipima joto cha mapenzi ili uelewe kiwango cha taabu nilichonacho moyoni, Nimekuwa kama mtu aliyekuja kufanya matembezi ya muda moyoni mwako.

Na deontologie ya b’amoureux egoism ezali permis Mpo ezanga piece de rechange, Moyen ya kosala revision ya motema ya moto ikeleve.

*Katika nidhamu ya mapenzi ubinafsi hukubalika kwa kuwa penzi halina chombo cha spea moyo hauwezi kukarabatiwa upya…….

Bolingo ya porcelain yo opesi nga, Ezali bolingo ya risque, Une fois par terre Ada Bombole nde epasuki.

*Penzi la jungu la udongo ulonipa, Limekua penzi la Hatari/Hasara, Mara likianguka Ada Mbombole litapasuka.

Bolingo ya talatala yokabeli nga, Ezali bolingo ya risque, Une fois par terre, Le Grand saoudien nde epasuki

*Penzi la jungu la kioo ulonipa, Limekua penzi la Hatari/Hasara, Mara likianguka Le Grand saoudien litapasuka.

Nazala hata petit Poussin, Naretrouver nzela yo okei, Avant que tongo etana ekoma trop tard Ada Bombole.

*Ningelikuwa hata kifaranga ili nifuate njia ulimopita kabla hakujacha, kabla sijachelewa Ada Bombole.

Bakulaka, bakulutu Boyoka oyo ya ngai, Oyo ezali champagne, Soki ezangi na fete mawa trop.

*Wazee wakwe Sikilizeni yaliyonipata, Hii ni Shampeni inapokosekana kwenye sherehe huzuni tupu…..

Shukrani za kipekee kwa Mdau Shaibu Mwambungu kwa Mtooho huu, pamoja sana, kama nilivyosema Werasonike tafadhali leteni vyombo.

Advertisements

4 Responses to RECTO VERSO Ya Wenge BCBG

 1. Hadj le Jbnique says:

  Ndio mana nimekuwa nikiwaambia vijana humu ndani jb kuelewa kwanini anapendwa na anatumia uchawi gani kuwa juu hata asipotoa album miaka mitatu mfululizo anaenda sambamba na wanaotoa album mbili mbili kwa mwaka mmoja.

  Ni kwamba nyimbo zake zinaishi lakini ili kuelewa inabidi umuelewe anachoimba kwanza ndio tutaelewana otherwise unaweza kuendeleza ubishi ili kuchamsha genge kitu ambacho nakipenda maana tusikae kama tuko msibani hapa.

 2. Abdallah J. says:

  MI NI WERASON DAMU ILA JB HUYU NILIKUWA NAMPENDA SANA NIMEIFATA HII LINK TOKA FACEBOOK NIMEPAPENDA HAPA UWANJANI KWA KWELI

 3. peter says:

  papaaaaaaaaa !!!……………………………BALAAAA!! sisiiiiiiiiiiiii

 4. peter says:

  DARASA TOSHA LUGHA YETU NZEMBELA BANGO!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: