Angalizo kwa Mashabiki wa WMMM na BCBG

217294_179529892097001_100001199731312_429493_3136198_n

Niliwahi kusema huko nyuma kuwa huu ni uwanja kwa ajili ya kupeana na kukumbushana kuhusu muziki wa Congo ambao unamashabiki wake pamoja na kupeana habari mpya na matukio ambayo ama yalifurahisha kipindi cha nyuma ama wengine hawakupata bahati ya kuyaona.

Blogu hii iko wazi kwa mtu yeyote kuleta habari ili mradi ziwe zenye ukweli hata zikiwa na vionjo vya ushabiki. Mi binafsi sifichi ni mnazi wa muziki huu wa Congo na nasikiliza nyimbo yeyote nzuri toka kwa mwanamuziki yeyote ndio maana kwenye library yangu kuna hadi video za wanamuziki wote wa Congo, ila mi ni member wa BCBG si tu mshabiki bali ni mwanachama, hii haizuii mwanachama ama shabiki wa WMMM kuleta habari hapa.

Nawashukuru mashabiki wa BCBG wanaleta habari na huwa nazitoa na majina yao, kwenu mashabiki wa WMMM kama mna kitu leteni tukiweke tuweze kufurahi na wenzetu tuache kulalamika. Kama una lolote tuma kwa piusmicky@yahoo.co.uk au piusmicky@hotmail.com au piusmicky@gs1tz.org

Karibuni tuujenge uwanja wetu wa Spoti na Starehe.

Advertisements

2 Responses to Angalizo kwa Mashabiki wa WMMM na BCBG

  1. peter says:

    BIG SHUKRANI PAPAA!! MUZIKI NI HISIA…… ASANTE MUKULU!!TAKE BIG FIVE!!………….CHAMUTU CHAMUTU………….

  2. Farid from Muscat says:

    Na sisi wote tunakukubali sana Pius Mzee kwani umeweza kutukusanya wanafamilia ya wenge wote katika nyumba moja nayo ni (spotinastarehe) , iwe shabiki wa wmmm au bcbg mwisho wa yote ni burudani tupu, mimi upande wangu ni shabiki wa wote ila nimelalia kidogo upande wa Ngiama sababu ya mpangilio wa sauti za waimbaji na guitar la solo, na hii ilikua pale baada ya kipenzi changu Makaba na Tutu na Titina kuihama bcbg ila imebakia JB namkubali sana 100 %, toka enzi za mulolo na alinifanya nikaonekana fundi mzuri ninapoingia stejini maana hucheza kwa style zake.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: