Drogba achangisha pesa kwa ajili ya Hospitali.

image

Mchezaji mpira Didie Drogba wa Chelsea toka Ivory Coast jana alifanya fund rising kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kusaidia kujenga Hospitali ya Moyo huko nyumbani kwao, Kwenye mnuso huo pia mwanadada Yasmini pia alikuwepo, Kwa waliowahi kuiona DVD ya Fally In Dar au onyesho la JB Mpiana na Thsla Mwana watakuwa wanamkumbuka huyu Bi Dada huwa anasimama nyuma ya Jukwaa alikuwa amevalia gauni la mkono mmoja jekundu, Huyu ni mtanzania ila ni mke wa tajiri mmoja wa Congo anaitwa Des Demukalinga na yuko karibu na wanamuziki wote na anaimbwa sana na wanamuziki wa Congo.

Kwa habari na Picha zaidi bofya hapa.

Advertisements

4 Responses to Drogba achangisha pesa kwa ajili ya Hospitali.

  1. Anonymous says:

    Des demokalinga siyo tajiri mimi nakaa naye jirani hapa London, ni mtu anapenda sifa sana kama walivyo wakongo wote . ni mhangaikaji tu tena mara nyingine hana kitu kabisa mimi mwenyewe nimesha wahi kumkopesha tena si mara moja .
    nisiseme mengi ila bwana Pius ukitaka naweza kuku pm nikakupa mengi sana kuhusu Des.

  2. Pius says:

    Please send them on my email.

  3. Relatively certain he’ll have a superior go through. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: