2011 ilikua ya Mpiana 2012 ya nani?

Na The Romantic

Jb Mpiana na wenge yake bcbg waliunza mwaka 2011 vizuri na kuumaliza vizuri.

Ndani ya mwaka 2011 mpiana na bcbg walipata kazi nyingi za ndani na nje ya kongo na kila walipokwenda walipokelewa vizuri na mashabiki.

Mitindo yao ya uchezaji ilionekana na naweza kusema bado inaonekana kuwakata vizuri wapenzi wa muziki wa lingala ndani ya congo,paris,bruxelles,swiss na ulaya nzima kiujumla ambako ni maarufu kwa kuwa na wapenzi wengi wa muziki wa bana congo.

Mitindo hiyo ya uchezaji ni mpunda(farasi),biloko,rotarota n.k.

Hivi ndivyo jb alivyounza mwaka 2011 ndani ya paris january 2011,kama huna muda angalia kuanzia dk ya 12…

Na hivi ndivyo Salvatory de la Patria jb alivyoumaliza mwaka 2011..

kwenye hii Video ya Fikin muangalie mdada wa pili kushoto huyu dada aliwahi kuja Tanzania na akawa anachezea Akudo ya hapa Dar Es Salaam.

Advertisements

31 Responses to 2011 ilikua ya Mpiana 2012 ya nani?

 1. Predator says:

  Cindy Le Coeur

 2. Stivin says:

  Kipimo muziki wa Kongo ni Zenith hako kaukumbi kama sebule

  • Anonymous says:

   tuwekee ya werra aliyopiga katika sebule yeyote huko paris 2011 ili twende sawa,usiweke za miaka iliyopita tunataka ya mwaka jana kwa kuwa issue hapa ni kufanya vizuri mwaka jana kwa kupata kazi nyingi ndani na nje na pia kuwa dancing style mpya….

   • Stivin says:

    Hehehe! Majbique wameona mwezi! M,oanyesho mengi ya Werrason mwaka jana yalifutwa kutokana na fujo za Bana Congo, Werra alikuwa afanye shoo na Papa Wemba stade de France shoo ikadfutwa kwa sababu ya fujo za Bana Congo, kumbuka hata Koffi show zake zilifutwa kwa fujo za bana Congo, Mpiana show zake hazikufanyiwa fujo kwa sababu nis show za sebuleni. Hilo hapo chini ni Tangazo la Show ya Werra na Papa Wemba, tatizo lenu Majbinique hamjui mmezidi ushabiki

   • Stivin says:

    Angalia show ya Werra Zenith 2010 ufananishe na hiyo ya mpina sebuleni 2011

   • Anonymous says:

    acha urongo hao labda show zao zilifutwa kwa kuwa watoto wa congo wanasema hao si wacongo,wanamuona mpiana kama ndio mwana congo mwenzao ndio maana pia mwana congo ni nick name ya mpiana pia kwa maana ya a.k.a. yake huo ndio ukweli kijana.

    watoto wa congo wana hasira ya nchi yao kutawaliwa na wageni kuanzia rais mtutsi,werrason mtutsi mwenzake,koffi mtu kutoka west africa na kuna kipindi serikali ya kabila ilisemekana kama inamuandama mpiana kimtindo kisa anatoka sehemu moja na JEAN PIERRE BEMBA,wakongo walikasirika sana ikabidi KABILA afanye jitihada za makusudi kufanya urafiki na Jb kuwatuliza watoto wa congo original,iko video moja mpiana alizungumza kwa utani lakini ujumbe ulifika maana aliulizwa nani mwanamuziki bora mcongoman akasema hakuna kama yeye wakamuuliza koffi na werra je na yeye akawauliza kitani kwani nao ni wacongo?

    Watu wakacheka sana.

    Kutumbuiza sebuleni kama ndio le combattants wakuachie bila fujo sio kweli,ni kwamba mpiana anapendwa wacongo wenzake kwani kama kumpigia debe kabila pia na yeye alimpigia mbona hawakukasirika sana kama kwa koffi na werra?

    Ni kwamba mapromota wanohofia hasara kuwapeleka werra na koffi huko ulaya kwa kuwa wacongo hawataingia ukumbini na pia hawakua na jipya lolote mwaka jana mzima.

   • bcbgque forever says:

    we brother stiv vipi??mbona hueleweki?unaponda historia na kudai mpiana yuko kihistoria wakati wewe ndio wa kwanza kutuwekea muziki wa kihistori wa werrason aliowahi kupiga mwaka 2010 wakati tuko 2012…..!

    unajiabisha wewe binafsi na wmmm pia,lete vitu vya 2011.

   • Stivin says:

    Wewe ndie muongo, ungekuwa mkweli ungejua kuwa Werra hakufanya show Ufaransa kwa sababu ya Bana Congo, usingesema kuwa Mpiana pekee ndo alionekana anafaa, niambie ndugu yangu Papa Wemba ni mtusi? Fally Ipupa ni mtusi? wote hawa walionja uchungu wa bana Congo, Wewe ni mpenzi wa Mpiana, Mpiana hakutunga Wimbo wa Kabila wakati wa kampeni? Mpiana kwa sasa hamfikii hata Fally Ipupa!

   • Anonymous says:

    kama mpiana hamfikii fally basi werra ndio hatamfikia kabisa.Jb alimtungia wimbo kabila baada ya kupigiwa magoti na kushinikizwa sana ikiwemo kupew hela nyingi kuliko mwanamuziki yeyote lakini wacongo man wanajiona wako connected zaidi na mpiana kuliko mwanamuziki yeyote,paa wemba kwani hujui amekua na matatizo ya muda mrefu kupata visa kutokana na kashfa ya kupeleka wahamiaji haramu ulaya?

    Mbona jb mwaka jana kazunguka sana ulaya?unadhani kwa nini,maana si paris tu sept last year alikwenda swiss na sehemu nyingine,je huko le combattants hawako wako zenith tu pale mlangoni wanazuia wanamuziki wa congo wasiingie au?

   • Stivin says:

    Haya ulisema Werra hajapiga Paris 2011 hapa ni Mbagala?

  • Stivin says:

   Mapropmota wanaogopa Hasara, amka ndugu yangu huyo Mpiana wako ni Bwana mdogo sana, nakuomba uwe unatembela na Blog nyingine, nenda African Music Vibes ukapate habari za uhakika! sina muda zaidi wa kulumbana na wewe, endelea na Mpiana wako, ila ujue kwa sasa ni bwana mdogo sana katika muziki wa Kongo! hamfikii hata Wazekwa!!

 3. Fatuma Mtanga says:

  kinanda cha ukweli hicho mwanangu unakisikia hapo kwenye video ya pili lakini????????????????????

  naomba mnitafutie jina la mpiga kinanda,nimemzikia ghafla anajua kuvitumia vidole vyake huyu mkaka.

  biloko biloko leleee leleee biloko biloko…!

  watakuja lini hawa hapa dar na hii biloko ya moto jamani?

 4. Stivin says:

  Lokuta eyaka na ascenseur, kasi vérité eyei na escalier mpe ekomi. Lies come up in the elevator; the truth takes the stairs but gets here eventually. – Koffi Olomide
  Wednesday, March 16, 2011
  A Strange Kind of Rebellion
  The Congolese diaspora is well-known for its rambunctious demonstrations and protests, usually against President Kabila, whom they often accuse of mass murder and being a Rwandan stooge. Over the past two months, however, protests in Belgium
  and France have focused on Congolese musicians. Concerts of Werrason, Papa Wemba and Fally Ipupa were targeted, resulting in two cancellations. The protesters accuse the musicians of supporting the government, although in some of the video footage from the demonstrations (not more than 50-300 people usually) the protesters appear to be more outraged by the cost of the tickets (around 100 euros).

  Leo nimeamua kukomesha uwongo wenu kuwa kuwa Werra hakupata mialiko Ufaransa.

  http://congosiasa.blogspot.com/2011/03/strange-kind-of-rebellion.html

  • Anonymous says:

   kwa hiyo basi ndio mwisho wa werraon na koffi olomide kama ndio hivyo maana migomo waliotangazwa na isiyo na kikomo,jb mwezi wa tano atakuwa na ziara ndefu katika nchi za schengen…

   Na pia atapita hapa bongo,nyie endeleeni kusotea kibano cha mgomo forever lakini muumize kichwa kubuni style za kucheza,mna style za kizamani sana,na sisi hatuko watu wa kizamani

 5. peter says:

  DOGO STIVE ACHA USHAMBA WA KUTUMIA MTANDAO NA COMPUTER ACHA KABISAAAAAAAAAAAA DOGO WAACHIE WANAJUA MATUMIZI YA MITANDAO!! DOGO UNAJIFUNZA??? HUU NI MTANDAO WA WAKUBWA NENDA KWENYE MITANDANDAO YA BONGOFLEVA!!

 6. peter says:

  BAKULU HOYO DADA KUSHOTO ANAITWA • Tantine Mbilia Dama – Depuis 2008 (Ex danseuse de Wenge Musica Maison Mère) JB HUPENDA KUMUITA UMEME or Electrical ….alitokea kwa Werason ,NI MOTO WA KUOTEA MBALI ……NI KAMA KINDA LETU MWANANSUKA (Brunette Mwana Nsuka – Depuis 2005) MTOTO JBENIQUEE DAMU!!!!

 7. peter says:

  MAMAA FATUMA MTANGA WAPIGA VINANDA WAKO WA BCBG HAWA HAPA CHINI

  • Cedric Guez (Syntheur) depuis 2002
  • Jeremy Kitubu (Syntheur) depuis 2004

  HII NDIYO SPORT NA STAREHE NA SPORT NA STAREHE NDIYO SISI!!! …NZEMBELA BANGOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!

 8. mwalimu mkumbe,muheza,tanga. says:

  stiv acha visingizio mpiana kapiga sana ulaya mwaka jana kuliko mwanamuziki yeyote wa congo,dogo fally mwenyewe anamkubali mpiana kimtindo,the same to ferre na wamekuwa wakimfagilia na kuimba nyimba zake hadharani,taka usitake mpiana yuko juu na hawa watotot watoto wote wanampa respect ya hali ya juu

 9. Hadj le Jbnique says:

  jb ndio mwanamuziki wa kwanza kupiga kwenye huo ukumbi kabla hata ya werra nyie,werra na hao kina koffi bila jb kufungua njia hakuna promota alikua tayari ku risk pesa zake kwa kuwapeleka pale..siku zote kila kitu ni lazima aanze jb hata huu mfumo wa bcbg kumilikiwa na wanamuziki kwa hisa utakuja kuigwa na kila mwanamuziki wa congo,tusubiri tuone tutaambiana hapa hapa.

  Haya yalikua ni mazoezi(sound check)ya bcbg kabla ya kutumbuiza ndani ya switzerland,werra mara ya mwisho alienda lini ulaya ukiacha mwaka jana kwenda kutibiwa????

  SWISS AIRPORT..

 10. Hadj le Jbnique says:

  • Stivin says:

   Haji nimetupia video ya Malewa kutoka You tube, ukiangalia idadi ya watu walioitembelea ni 1,426,056, ukitupia hapa video ya Mpiana iliyotembelewa na watu zaidi ya hao nahama Kambi nakuja BCBG, kazi kwako

  • Anonymous says:

   hii ilikua mwaka gani labda utusaidie hapo kwanza ili kuokoa muda…..!

 11. Stivin says:

  Nasisitiza tena, JB ni historia, tutamkumbuka kwa Albamu ya Ndombolo ya Solo, zaidi ya hapo hana jipya! Mnasema ndo alianza kwenda Zenith, nakumuka ilikuwa mwaka 1999 wakati bado yuko na kina Afande, baada ya hapo amewahi kufanya show gani ya maana? niwekee show kubwa ya maana Mpiana kafanya Parisi katika Muongo mmoja uliopita na mimi niweke ya Werrason! Kama huamini kuwa Mpiana ni historia jaribu kumleta bongo ule hasara!

 12. Mamaa Prezident a.k.a. Mwasi ya mokonzi says:

  nani wa mwisho kuja bongo kati ya werra na jb??kwa nini werra hajaletwa tena na kwanini mpiana analetwa tena mwaka huu?

  ukijipata majibu ya haya maswali utajua nani ni hasara na mzigo kuletwa hapa bongo kati ya jb na werra

 13. Hi, I saw you visited my website So i came to “return the favor”.I’m trying to find things to put in my website!I suppose its ok to use some of yours if you don’t mind.

 14. It’s a shame you don’t have a donate button! I’d definitely donate to this excellent blog! I guess for now i’ll settle for bookmarking and adding your RSS feed to my Google account. I look forward to new updates and will share this blog with my Facebook group. Chat soon!

 15. Nada Jannise says:

  Incredibly nice blog and superb and articles.precious style, as share superior stuff with very good ideas and ideas.

 16. I believe this can be an informative publish and it really is experienced and extremely valuable. I’d wish to thank you for that efforts you’ve made in creating this article.

 17. A few things i have always told people today is that when evaluating a good on the net electronics store, there are a few issues that you have to think about. First and foremost, you need to make sure to find a reputable and also reliable retailer that has gotten great critiques and rankings from other buyers and marketplace analysts. This will make sure that you are getting along with a well-known store that provides good services and aid to their patrons. Many thanks sharing your notions on this weblog.

 18. This blog is perfect for anyone who want to know about this subject. You know a lot about this subject.

 19. Hi! This is my first visit to your blog! We are a group of volunteers and starting a new project in a community in the same niche. Your blog provided us useful information to work on. You have done a marvellous job!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: