Utalii wa Ndani…!! Kinukamori Water Falls

image

Dj Que wa 100.5 Times Fm akiwa katika eneo la maporomoko ya maji (Water Falls) lijulikanalo kama Kinukamori Water Falls ambali yapo katika hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Kwa mujibu wa takwimu bado utalii wa ndani unachangia kidogo sana kwenye kipato cha Utalii Tanzania huku ikisemwa kuwa idadi kubwa ya watanzania wanavisikia tu vivutio vya utalii vilivyopo TAnzania zikiwemo mbuga za wanyama na maeneo mengine ya utalii kama haya.

Elimu zaidi inahitajika kutolewa pamoja na uhamasishaji ili kuwafanya watanzania watembelee zaidi vivutio vya utalii vya ndani. Naimani kwa kushirikiana na wanahabari kama hawa akina DJ Q wanaweza kuongeza hamasa na hata kuandaa safari kwa kushirikiana na kampuni za utalii na kuzitangaza ili kuwavutia hasa vijana ambao wengi hawaelekei kujua lolote kuhusu vivutio hivi ambavyo viko nchini kwetu na watu hutoka nje kuja kushangaa kwa gharama kubwa.

image

Hii njia ilitengenezwa kwa kufuata nyayo za chui ambaye inasadikika alishuka kutoka mlimani kwenda kumfuata dada aliyemjeruhi kutoka juu ya maporomoko na kumla hatimaye baada ya kutafutwa kwa muda yakakutwa mabaki yake chini kabisa… hadi sasa imekuwa ndio njia ya kushuka kutoka juu ya maporomoko ya maji kwenda kwenye mto maji yanapoangukia.

One Response to Utalii wa Ndani…!! Kinukamori Water Falls

  1. The issue which u have discussed in this blogs is very much common nowadays . Thank You so much for providing me the tips

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: