Chezea Twanga Wewe!!

image

SALE!!! SALE!!! SALE!!! SALE!!!
TAARIFA KWA WENYE MABENDI AFRICAN STARS BAND INAPENDA KUWATANGAZIA WAMILIKI WA BENDI HAPA NCHINI KUWA INAUZA WACHEZA SHOW WAKE WANNE!!
1. ASHA SHARAPOVA aka CRISTIANO RONALDO TSH. MIL. 20/=
2. FASHA aka LIONEL MESSI TSH. MIL. 20/=
3. MARY KIMWANA aka VAN PERSIE TSH. MIL 10/=
4. MARIAM KIDUKU aka MARIO BALOTELLI TSH. 10/=

Hahahaha nilifurahishwa na huu utani wa kuwanadi ma dancer wao kwenye mtandao wa kijamii, Bendi ya Twanga Pepeta inajikusanya upya baada ya kuondokewa na wanamuziki wake, lakini hivi karibuni kiongozi wa bendi hiyo Asha Baraka alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Mkasi cha Salama Jabri alisema kuwa Twanga ni kama Chuo kila kukicha kuna watu wapya wana graduate. Na kwa mashabiki wa Twanga wanasema kuwa haiwasumbui mtu kutoka kwani anatoa pengo kwa mwingine mpya kuonekana.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: