MJ 30 na Nathalie Makoma ndani ya Kinshasa.

Inawezekana MJ 30 anaweza akawa mwanamuziki wa Congo ambaye amefanya Kolabo na wanamuziki wengi sana.

Kwa muda mrefu Congo ilikuwa haina mwanamuziki wa kike anayechipukia ambapo kwa sasa watu wanawashindanisha MJ 30 na Cindy Olomide ambaye ni mke wa Koffi.

KAtika Concert hii iliyofanyika Kishasa mwishini mwa mwaka jana utamuona MJ 30 akiwa na Nathalie Makoma wakiimba pamoja, Mpaka Sasa MJ 30 ambaye ametambulishwa kwenye jukwaa la kimataifa na mwanamuziki mkongwe Tshalla Muana ameshafaka onyesho la Pamoja na Tshalla Muana na JB Mpiana hapa Dar katika ukumbi wa Ubungo Plaza, ana wimbo na Fally Ipupa, ana wimbo na wanamuziki wengi wa Kongo mpaka sasa.

Inawezekana ameamua kufuata vituko vya menta wake Tshalla muana kwani amepata kashfa ya kupanda jukwaani akiwa mtupu na hilo lilidhihirika kwenye picha zilizopigwa huko Uganda na kusambaa kwenye mitandao zikimuonyesha akiwa mtupu bila ya nguo ya ndani.

Advertisements

One Response to MJ 30 na Nathalie Makoma ndani ya Kinshasa.

  1. lots of wonderful facts and inspiration, each of which I will need, due to present such a helpful information here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: