Koffi Ayina Wimbo usioisha ladha!!

Heritier Watanabe ambaye kwa sasa ni gumzo alipohojiwa hivi karibuni alisema hamna anayemhofia ndani ya WMMM ya sasa kwani anakiri kuwa WMMM ya kipindi cha akina Ferre Gora ilikuwa bora zaidi na ilikuwa na kikosi imara chenye wachapakazi (Angalia post hapo chini). Binafsi nazikubali sana kazi za Werasson kipindi hicho na huu ulikuwa ni mmoja ya wimbo ambao kwangu hauniishi utamu.

Burudani ya kipee kwa Papaa Julie Weston Nyangarakata na Dorari, Presidaa Bana Kongole Tanzania!! Uko juuu. Shika moyo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: