Erick Mente silaha za JB ambazo hazitoki BCBG

Erick Mente ni mmoja wa vijana wa JB ambaye anatamba sana na sauti yake, Kuna mdau majuzi kwenye Comments alikuwa akihoji mbona JB hajatoa vijana wanaotamba, ninachoweza kusema ni kuwa vijana wengi wa JB Mpiana kwa sasa hawawezi kutoka kwa kuwa Wenge BCBG kwa sasa ni kampuni ambayo kila mwanamuziki ana hisa humo na anapata gawiwo lake kutokana na hisa zake, hii inafanya wanamuziki kuwa na ownership kwenye band.

5 Responses to Erick Mente silaha za JB ambazo hazitoki BCBG

 1. Anonymous says:

  kINACHOKUTOFAUTISHA NA WENGINE NI HIVI VIONJO VYA HABARI PAPAA, HUMU KILA SIKU NABURUDIKA NA KUJUA ZAIDI KUHUSU MUZIKI WA CONGO, SIKUJUA KAMA BCBG NI KAMPUNI KWAKWELI MERCI MINGI PAPAA

 2. Mahijaz says:

  Erick Mente ni zao la JB Mwenyewe alimtoa mbali sana na jamaa anaimba kuanzia Soyons Sirieuxe amepewa nafasi na mtamsikia sana WMMM kaeni chonjo.

 3. peter says:

  HII NDIYO BCBG !!! PAPAA PIUS HAWA WERASONIKE WANAIJUA HII .. Tantine Mbilia Dama – Depuis 2008 (Ex danseuse de Wenge Musica Maison Mère) …….SISI NDIYO FIKIN NA FIKIN NI SITING ROOM YETU!!!!

 4. Hadj Le Jbnique says:

 5. I’d have to talk with you here. Which isn’t something I usually do! I spend time reading a post which will get people to believe. Also, many thanks for allowing me to comment!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: