Fally na Celeo nani kamfunika mwenzie humu?

Wenyewe wanasema hiki ni kizazi cha tano cha muziki wa Congo, ambapo kizazi cha nne walikuwa akina JB Mpiana, Werrasson na wenzao ambao kwa kiasi kikubwa walileta mageuzi makubwa kwenye muziki wa Congo.

Celeo Scram na Fally Ipupa wote wanatoka kwa wanamuziki ambao kwa kiasi kikubwa wanatawala kwenye ulimwengu wa muziki wa Congo huku Celeo akitoka kwa Werrason Ngiama na Fally akitokea kwa Mopao Mokonzi.

Jamaa hawa wamechanganya sauti zao tamu sikiliza humu kama wewe ni mpenzi wa Rhumba sikiliza jinsi sauti hizi zinavyodatisha. Wakali hawa wote wanwachanganya sana akina dada kwa mvuto wakisemwa ni ma handsome, sina jibu ya hilo mi naowaona wa kawaida tu hahahahaaha.

Advertisements

One Response to Fally na Celeo nani kamfunika mwenzie humu?

  1. Stivin says:

    Kila siku tunasikia vijana wanaotamba ni Fally, Celeo, Ferre, Bill Clinton, Kabose, sisikii vijana wa JB, hivi Mukulumpa hazai?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: