Je unawakumbuka hawa jamaa?

image

Kwa mashabiki na wafuatiliaji wa muziki wataikumbuka Quartier Latin ya Mopao Sakozy Koffi Olomide ile enzi ya Altimatum ambapo watu kama akina Suzuki au Gecco Bouro Mpela na hawa jamaa walitamba sana enzi hizo.

Jamaa walijitoa baada ya timu ya Koffi kuparanganyika na wao kuondoka na ndipo Koffi aliunda Dream Team mpya.

Jikumbushe nao hapa

Advertisements

4 Responses to Je unawakumbuka hawa jamaa?

  1. BABA MARTHA says:

    Kwa faida ya wengine, huyo mwenye T-shirt nyeupe anaitwa(Mudogo Abalabwa) walipotoka waliunda Q. Latin Academia wakashindwa kuelewana, Mudogo alirudi tena kwa Mopao, sasa hivi sijui yupo wapi. Mara ya mwisho nilimwona kwenye collabo na Fally Ipupa.

  2. rolenzo says:

    modogo abalambwa ni mkali sana na kweli alurudi kwa mopao sarkozy na katika sisi silvie (sio slyvie) alikuwepo unajua huyu jamaa ni kama mopao katika sauti, na weli kabisa alikuwepo katika alnum ya pili ya fally ipupa ila huyu jamaa mwingine nimemsahau na ukitaka kujua ubora wa champin estatic du monde msikiize katika loi,altimatum, na nyinginezo hata katika round point

  3. Fairly sure he will possess a fantastic read. Thank you for sharing!

  4. Yen Halbur says:

    Its my wonderful pleasure to visit your website and to enjoy your terrific posts right here. I like it a good deal. I can come to feel that you just paid a lot consideration for anyone articles or blog posts, as all of them make sense and are incredibly helpful.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: