Werrason at FIKIN na JB at FIKIN nani Zaidi?

Kisha angalia hii

FIKIN ni uwanja mkubwa kama wa Sabasaba hapa kwetu ambao uko Kinshasa wanamuziki wa Congo wanautumia sana kupiga show zao hapo.

Angalia hapa Werrason na WMMM na JB Mpiana na Wenge BCBG walipofanya sho kwa siku tofauti je nani alimfunika mwenzie?

47 Responses to Werrason at FIKIN na JB at FIKIN nani Zaidi?

 1. Anonymous says:

  Unataka tufananishe nn sasa? Werra inaonyeshwa Repa kama sijakosea ni Prince akifanya vitu vyake na Hadhira ikishangilia, JB tumeonyeshwa wimbo! sasa tunafananisha nini? Idadi ya Watu au? Kama ni watu Werra ana watu wengi zaidi1

 2. peter says:

  KWA SISI BANAKONGO KIN … FIKIN NI KOLONI LA JB HAPA HAKUNA UBISHI KOFI ALIJARIBU LAKINI WAPI… WERA NAYE KIDOGO…KWANI FIKIN SI MCHEZO JUKWAANI NI KAZI KAZI HAKUNA KUPAKARANGI MOTO MWANZO MPAKA MWISHO!!!!

  • Anonymous says:

   Acha Uwongo mbona nyomi la Werra Kubwa kuliko la JB? Angalia video hizo!!

   • Anonymous says:

    Jibu rahisi sana……
    Ni kwa sababu werra alipiga mchana ana watoto walikuwapo na jb alipiga usiku watoto wakiwa wameenda kulala….

 3. Anonymous says:

  Jb big sound good music good excelllent dancing styles… werra kama kawaida full mzuka wa makelele ya atalaku,werra amekwisha akamuangukie Herritier “WATA” dogo aliibeba sana bendi huo ndio ukweli,otherwise werra atapotea muda c mrefu,kwa muda mrefu sasa hana dancing style yeyote mpya iliyowashika watu sawasawa kama biloko,mpunda n.k.

 4. Anonymous says:

  Jmani mi naomba nisaidieni hivi werrason na genge lake walikua wanafanya nini hapo????maana mimi nimejaribu kuangalia video yao mwanzo mpaka mwisho sijaelewa walikua wanafanya nini,walikua wanaimba wanacheza au wanaongea….

  Naona kidogo mashabiki wao walijaribu kuimba lakini werra na wenzake sijaelewa walikua wanafanya nini hapo stejini,i’m sorry!

 5. Anonymous says:

  Biloko le leleee biloko….rota rota rota rota…papa sheri libososoooo

 6. Anonymous says:

  Biloko Biloko leleleee..rotarota rota rota….papa sheri libosooo

 7. Stivin says:

  Mpiana ni Historia! Werra kamuacha mpiana mbali!

  • bcbg forever says:

   mbona kama umeongea kinyume?werra bado anasafiria nyota ya kibuisa mpipa mpaka leo wakati wenzake wanasonga mbele na ma style mapya kila kukicha,nitajia style mpya ya werra kama hata wewe werrasonique mwenyewe unaijua,kama nyie tu wenye bendi yenu hamuijui style mpya iliyobuniwa na bendi vipi sisi watu wa nje???

   leo hata wasio mabcbgque ukiwauliza style gani mpya inayoshika kongo kwa sasa watakutajia kitu cha mpunda,ambacho nacho kwa wana bcbg kimeshapitwa na wakati sasa hivi wanazungumzia lugha ya Biloko na rotarota kaka,huo ndio ukweli achana na historia za kibuisa mpipa,leta kitu kipya tukicheze!

   • Stivin says:

    Wewe! niambie albamu ya Mpiana iliyofikia japo umaarufu wa Malewa! nitajie tafadhali! Mpiana ni historia, hajafanya lolote tangu Wenge isambaratike!

   • didistone says:

    UNALETA UBISHI WA KITOTO MBONA AMETAJA UNATAKA ARUDIE,MALEWA IPI KWANZA UNAYOIZUNGUMZIA ILE YA MWANZO AU HII MLIYOIRUDIA INAYOCHECHEMEA SOKONI?AU UNACHANGANYA ZOTE NA KUDHANI NI MOJA?

    TATIZO BANA ZAMBA WA BONGO HATA ALBUM ZA BENDI MNAYOIPENDA BADO ZINAWACHANGANYA KWA SABABU JAMAA ANATOA ALBUM KWA FUJO KILA KUKICHA ILI KUIWEZA NJAA YAKE…..

 8. Anonymous says:

  Unaposema Mpiana Historia unamaana gani hebu chukua albamu zao kisha uziweke hapo jaribu kuangalia nani ana albamu nzuri, Albamu kama Titanic, TH au TITANIC ni wimbo gani una forward kwenye albamu hizo achilia mbali hizi nyingine, Albamu pekee ya Wera ambayo naikubali na nitaikubali mpaka kufa ni Kibuisa Mpipa, na ile ni kwa sababu watu wote walikuwepo.

  Jipangeni upya.

  • Stivin says:

   Hahaha! Titanic na TH hazifikii solola bien hata kiduchu ndugu yangu kuwa mkweli! solola Bien petie frere!

   • didistone says:

    unalota ndoto,haziifikii labda kwa kigezo cha makelele ya yule mvuta bangi wenu mliyemtimua bill clinton,lakini kwa ujumbe na muziki hizo album ziko mbali sana.

    kwanza hakuna album ya wmmm inayoitwa solola bien labda ulitaka kusema Force d’intervention rapide,ambao pia ni wimbo uliobeba jina la album,kama unao kausikilize vizuri halafu uusikilize wimbo wa TITANIC wa bcbg ambao ulitoka kabla ya ya hiyo force intervention rapide hata hamjafikiria kuitoa then uone kina werrason wasivyo wabunifu maana wame ucopy wimbo wa TITANIC kama ulivyo na kubadilisha maneno tu.

    wadau zisikilizeni hizo nyimbo mbili hata kwa kuzisearch kwenye u tube sasa hivi wote mtaungana na mimi kwamba kina werra waliwaiga kina jb mpiana,sasa iweje kitu cha kuiga kiwe juu ya kitu cha ukweli?????huu ni uongo na zile award zenu za kupikwa eti album bora…

   • Stivin says:

    Bill Clinton unamuita mvuta Bangi, lakini kumbuka leo marepa wote wa Kongo wanaiga sauti yake, hata Genta kabadili sauti ili ifanane na ya bill clinton, pili bwana didistone inaonekana either hujui muziki au unafanya makusudi, unadai hakuna album inaitwa solola bien, zungumza vizuri! halafu unasema wimbo wa Titanic umekopiwa, albam iliandaliwa kabla Wenge haijasambaratika, katafute DVD ya Live za Wenge kable haijasambaratika, nikueleze tu, Solo la Titanic lilitungwa na Japonais Maladi ambaye pia alitunga solo la Wimbo wa ANdombolo ya Solo, na ndio maana alipoondoka na Werra aliweka vionjo vya Tityanic, JB ni bwana mdogo sana, upinzani Congo ni Koffi na Werra hilo halina ubishi, JB alishindwa kubeba hata Kora Moja halafu mnamuita makli!

   • Anonymous says:

    stiv huu wimbo wa marepa kuiga style ya bill utaacha lini kuuimba,for 3years now unaimba chorus hiyo hiyo tu bila kubadilisha,style za kurap zinachange kila siku huyo bill sijui hata yuko na hiyo style yake mara ya mwisho alionekana akimpigia kampeni tshisekedi kwenye uchaguzi wa congo,kapotea mbaya jamaa yako

   • Anonymous says:

    kora hata awilo na defao walichukua tena nyingi kuliko mcongo yeyote,lakini je nikuulize awilo ni mwanamuziki?

 9. Anonymous says:

  kosa kubwa la werra ni kumuachia WATA akaondoka……hapa siwazungumzii kina Bill clinton,baby ndombe na mpiga solo yule kichwa jina limenitoka kidogo,wata ndio ilikua nyota inayoing’arisha bendi kwa muda mrefu,aneibisha atizame hapa atakubaliana na mimi kwamba do herritier alikua anaibebe maison mere vilivyo…

  • Stivin says:

   Wata kitu gani? Werra ni mpishi wa wana! aliondoka Fere Gola atakuwa Wata? Werra ni bingwa wa kuibua vipaji, hata bwana mdogo Mpiana aliibuliwa na Werra!

   • didistone says:

    bwana stivin acha kuvuruga mazungumzo,mpiana alipikwa na werra alafu mwalimu akaja kumpisha aliempika awe bosi wake na bendi nzima???

    Halafu ferre hakuanzia maison mere kama unavyofikiria,alitokea wenge musica original ya prezidaa Jb na kuja kuanzisha maison mere kwa pamoja yeye,werra,adolphe na dd masela,wote wametoka mikononi mwa mokonzi ya ba wenge jb mpiana wakiwa wameiva na mafunzo ya chuo kikuu cha muziki tayari kwa kufanya kazi.

    Hebu tutajie mwanamuziki aliempika werra toka wata aondoke!

   • Stivin says:

    Unachekesha sana wewe, mimi sikati kuwa JB ana sauti nzuri hilo halina ubishi, pia ana mvuto kwa kujichubua, lakini kimuziki Werra yuko juu kaangalie werason zenith halafu utafute show ya Jb yoyote ya Zenith ufananishe!

   • Anonymous says:

    stivin unapenda sana kujihusisha na mambo ya kihistoria eeh??

    zenith bado unaiota mpaka leo,mbona hamkurudi tena pale mpaka kesho??

    watu walijaa siku ile kumuonea huruma werrw alikua anatia tia huruma,arudi tena tuone

   • Stivin says:

    Hahaha kwa mara ya mwisho werra kapiga Zenith 2010 hii hapa, niwekee ya Mpiana Zenith http://www.youtube.com/watch?v=uQz1PyhLmkI

  • Stivin says:

   Nani aliwadanganya nyie Mjbinique kuwa wata kaondoka, angalia show ya Brazaville mwezi wa pili na Wata ndani ya nyumba

   • mwana congo says:

    wapi wameandika mweai wa pili 2012???acha urongo wewe unajidai mwana zamba kumbe hata kinachoendelea zamba playa hukijui…kajipange kijana hapa kuna watu wa muziki kiujumla sio wa werra au jb tu,hadanganywi mtu hapa

   • Stivin says:

    Hiyo ni february kaka! ndani ya Brazavile, naona Mjbinique mnasali Heritier aondoke, aliondoka Ferre itakuwa Heritier? kuna Miel na Taddet!

 10. Hadj Le Jbnique says:

  I LUV THIS VIDEO…..WATA KWELI YUKO JUU SANA WADAU TUACHE USHABIKI,MI NAMKUBALI SANA.

  • Stivin says:

   Nyie vijana wa JB bwana Wata mnamuona mkali kisa kaondoka kwa Werra! Werra ndo anamfanya Wata aonekane mkali kama alivyomfanya Mpiana aonekane mkali kwa tungo zake!

   • Hadj Le Jbnique says:

    Tungo kama zipi?

    unajua kuna kitu kimoja watu mnachanganya,ukifuatilia nyimbo za wenge wakiwa pamoja utaona kwamba kila mtu alikua akitunga nyimbo mle kundini anataka jb ndio aiongoze hiyo nyimbo unajua kwanini?naona unijibu mzee stivini.

    Lakini kwa upande huo jb hakua na ulazima wa nyimbo zake kumshirikisha werra kwa kuwa sauti haikua muhimu sana ndio mana hata kwenye FEAUX D’ARMOUR werra kaimba mstari mmoja tu kwenye album nzima na bado akawa analilili mapato ya album.

    Hata kwenye video hiyo hapo juu utaona kwamba sauti ya werra ni kama inaharibu bora awaachie hao vijana hasa Wata!

 11. Anonymous says:

  STIVIN TUMEKWAMBIA TUONYESHE VIDEO MPYA YA WERRASON BAADA YA WATANABE KUONDOKA UNATUWEKEA VIDEO YA MWAKA 2002 WAKATI MKO JUU,HIYO SASA NDIO HISTORIA ALIYOBAKI NAYO WERRA SIO MPIANA,MIAKA 3 BILA DANCE MPYA NA UNADAI BADO MKO JUU,LETENI MTINDO MPYA TUUCHEZE NA FM ACADEMIA NA AKUDO ZETU HAPA,MAANA WATAUIGA FASTA TUTAUCHEZA…

 12. Anonymous says:

  stivin lazima ukubali dogo wata kuondoka kwake kunawatesa..

  • Stivin says:

   Niambie Mpiana kapiga lini Parris? niwekeee video ya mwisho ya Mpiana Paris au Bercy hapa, mimi nimeweka ya Werra 2010 na ilikuwa nyomi, weka ya bwana mdogo Mpiana hapa tuone!

   • Hadj le Jbnique says:

    BWANA STIV HII NI PARIS MWAKA JANA 2011,BANA PARIS NA POTO KIUJUMLA WALITAKA KUONYESHWA MPUNDA LIVE WAKATOA PESA KUWAITA BCBG KWENDA HUKO,TUWEKEE NA WEWE YA WERRA 2011….Halafu hapa sikiliza muziki vizuri ili uache ile kauli yako kwamba mpiana baada ya TITANIC hana nyimbo nzuri huo wimbo ni baada ya album ya titanic ona wapenzi wanaojua muziki na kuelewa msg wanavyoimba kwa hisia sambasamba na musicien

   • Stivin says:

    Kaukumbi kenyewe kadogo! angeenda Zenith ndo tumjue kuwa ni mwanaume! Zenith ni ya Werra na Fally basi! Mpiana hatii mguuu!

 13. Anonymous says:

  Utakuwa chizi kama utabaki kungangania Wera yuko juu bila vidhibiti, Nakwambia Wera kama Wera hawezi kusimama tofauti na JB kama unabisha sawa

 14. edgar says:

  Mtoa mada hayuko fair, ukiangalia hizo video werra ni dk 5 wkt mpiana ni dk 16.

  lakini kwa nyomi, it goes without saying that werra ana washabiki wengi, hii haihitaji kwenda darasani.

  • mwana congo says:

   kaka ilikua ni ya bure na ilifanyika mchana kweupe kila mtu aliejisikia hata kama alikua anapita anasimama na kuangalia,jb kapiga usiku wa manane wapi na wapi,lakini tunasikiliza muziki,sound kuijumla na dancing style ndio maana tunasema werrason sio kwamba mbaya bali anahitaji kujipanga aje kivingine sio kutoa album moja mara mbili kama jamaa zetu wa bongo movie na sinema zao part 1 na 2 kwa story ile ile huo ni wizi.

   • Stivin says:

    Hahaha, show zote anazofanya Werra The Grand Kinshasa Hotel, Zenith ambako Mpiana hathubutu kutia mguu ni za Bure, hahaha! hata Juzi alienda kupiga kwenye birthday ya Mugabe yeye na Akon kwa sababu anafanya show za bure, Hahahaha! Hang over ya umnaarufu wa mpiana 1997 haijawatoka! Mpiana ni historia atakumbukwa kwa albam ya ndombolo ya solo, full stop!

   • Anonymous says:

    wera ana style gani ya ku dance inayotamba kwa sasa???usilete historia za zenith,tunataka sasa,acha kuponda historia inayombeba werra,tuamie werra ana jipya gani sasa,mpiana kaja na dance ya mpunda werra hakujibu,kaja na biloko werra kimya,kaleta rota rota werra ndio kwanza anaalikwa eti kumtumbuiza mugabe na familia yake chumbani kwake,yani kutoka zenith mpaka chumbani kwa mugabe mbona mporomoko mkubwa sana?

    mwaka jana mzima werra hajaalikwa paris hata mara moja.

    Grand kinshasa jb hapigagi???werra unachekesha,maana ni sawa useme twanga pepeta huwa haipigi diamond jubilee hapo kwenu nadhani utaonekana kituko

 15. Stivin says:

  Hahaha kipofu kaona mwezi! Hapa Bongo siku zote style zinazotamba sana ni za Werra, kuanzia enzi ya solola bien,Koyi mbi koo ambayo ilimtoa sana Mr Nice Sele ba mama sele, Twanga pepeta wakaiita mugongo mugongo, Sima Ekoli, miaka yote hiyo Bwana mdogo mpiana hakuwahi kufanya chochote, leo kampunda kanawapa kiburi, subirini kimbunga cha Igweee de la foret kinakuja, Mpaina atakumbukwa kwa ndombolo ya solo ambayo alisaidiwa na Makaba na Papa Wemba full stop! Werra , Dominguez na Makaba waliondoka wakamuachia bendi nzima wao wakaenda kuanza upya, nini alichofanya zaidi ya kuiua?

  • Anonymous says:

   acha uongo wako wewe,kiliwazenza ilikua ya werra?

   lopelee mnayoiita samaki ambacho ni kswahili cha lopelee ni ya werra?

   kisanola ni ya werra?

 16. peter says:

  MTOTO HAKESHI NGOMANI!!NGOMA YA USIKU WAACHIE WAKUBWA!!!

 17. peter says:

  le Hadg MUKULU USIANGAIKE NA WATOTO MKESHA WATAUWEZA!! TAHADHARI MTOTO HAKESHI NGOMANI….. HAIRUSIWI KUDANDIA CHEMIN!!!!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: