Celeo scram ndani ya Holocauste

Kwa wanaomjua Celeo Scram watakubaliana na mimi ni moja ya mapengo ambayo kiukweli Werrason ama anakubali au hataki kukubali waliacha pengo ndani ya WMMM.

Kijana anaimba, ana ghani na ni mtunzi mzuri kwa sasa aanendesha maisha yake kivyake yeye mwenyewe baada ya kujitoa.

Walikaa muda mrefu bila kuonana macho kwa macho tangu atoke kwa Werrason lakini walikutana kwa mara ya kwanza kwenye Msiba wa Madillu System na kutupiana vijembe fulani kupitia kwa mashabiki wao.

Msikilize Celeo Scram hapa kisha niambie unavyomjua wewe.

Advertisements

One Response to Celeo scram ndani ya Holocauste

  1. Anonymous says:

    Kaka unanifurahishaga sana unaponipaga habari za watu hawa the way unavyoandika story zako ni poa sana.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: