Makampuni ya Bia Tanzania igeni mfano huu kuinua muziki wa Tanzania.

Hivi ndivyo Bendi za Congo Zinavyojipatia pesa nyingi ndani ya Congo Kuliko nje ya Congo,hapa nyumbani bendi zetu vipi zinashindwa kuyatumia makampuni ya pombe kutengeneza pesa zaidi ya vijisenti wanavyopata sasa hivi????

Huu ni generique (wimbo wa vyombo na atalaku) ambayo ni maalum kwa ajili ya kuitangaza product ya kampuni ya bia ya PRIMUS ambao ndio wadhamini wakuu wa wenge bcbg ya Mpiana.

Kampuni hii pia ni mdhamini wa Werrason na kampuni nyingine inayotengeneza bia nyingine ya SKOL yenyewe inawadhamini Koffi na Ferre. Mbali ya udhamini wa kawaida wanamuziki hawa wamefaidika kwa kujengewa majumba, kununuliwa magari ya kifahari na kuwakatia Bima wanamuziki wote wa Bendi, mathalani inasemekana kuwa wanamuziki wa BCBG pamoja na kuwa wote ni wanahisa kwenye kampuni ya BCBG vile vile wote wanalipwa mshahara na PRIMUS kwa miaka mitatu.

Advertisements

2 Responses to Makampuni ya Bia Tanzania igeni mfano huu kuinua muziki wa Tanzania.

  1. Predator says:

    sukali sukalii…..
    elengi elengi….

  2. Anonymous says:

    kitu imesimama sio siri,mimi werrasonique lakini nikiri tu jb sasa amefufuka inabidi ngiama akune kichwa zaidi la sivyo huyu atatufunika huyu mawerasonique wenzangu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: