Jb Mpiana na Werrason walipokutanishwa na kukumbushia enzi zao wenge musica stejini kwa pamoja..

Na The Romantic

Katika vitu ambavyo wenyewe wanasisitiza ni kwamba hawana tofauti zaidi ya kukuzwa na mashabiki wao, wanasema tofauti zao ni kujenga muziki wa Kongo lakini kwenye masuala ya kimaisha bado ni marafiki na wanaheshimiana na hili lilidhihirika hivi majuzi baada  ya Werasson kupata ajali na JB kuwa miongoni ya watu wa mwanzo kufika.

Angalia Video hii pale JB na Wera walipokutanishwa na kutoa vipande vya wimbo ambao waliimba wakiwa bado pamoja kiukweli inatia raha sana.

Advertisements

4 Responses to Jb Mpiana na Werrason walipokutanishwa na kukumbushia enzi zao wenge musica stejini kwa pamoja..

 1. Anonymous says:

  bana congo mobimba tolingana…werrasonique,jbnique tolingana!

 2. Anonymous says:

  hapo ndipo wanapokonga mioyo, kilichobaki sasa ni angalau shoo mbili za re-union kwa ajili ya sisi mashabiki

 3. Paschal M Canisio says:

  Mambo mazuri

 4. Jestine Kelm says:

  plenty of good information and inspiration, each of which I have to have, due to supply such a helpful details right here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: