Zawadi ya Nono Fuji toka Soyons Serieuxe ya Wenge BCBG

Kwa wanaomjua Nono Fuji ni kijana chale sana anapenda sana vituko jukwaani na anacheza sana huwa wakiachiwa mmoja mmoja, kijana anaomba na anatunga pia.

Wimbo huu ni utunzi wake Nono Fuji kiukweli dogo anajitahidi sana kuimba kwa hisia na ni kati ya vijana ambao JB Mpiana anawapenda sana ingawa mwenyewe awali alitamani sana kughani akiwa anamzimia sana Tutu Caludji ambaye awali alikuwa na Wenge BCBG kabla ya kukimbia mwaka juzi.

Wimbo huu umerekodiwa Video mara mbili na Video hii ni Version ya Kinshasa. enjoy mdau.

5 Responses to Zawadi ya Nono Fuji toka Soyons Serieuxe ya Wenge BCBG

  1. Hadj Le Jbnique says:

    KWELI NENEF NI HAZINA KUBWA YA BCBG HILO HALINA UBISHI

  2. clement mkungile says:

    yeah!nono mtamu sn kwenye mambo y sauti!hua namfananisha na rapa lil wyne kwa sura!

  3. lots of great information and facts and inspiration, each of which I will need, because of offer such a beneficial information here.

  4. I’m really loving the theme/design of your website. Do you ever run into any browser compatibility problems? A couple of my blog readers have complained about my blog not working correctly in Explorer but looks great in Safari. Do you have any suggestions to help fix this problem?

  5. I’m really enjoying the theme/design of your blog. Do you ever run into any web browser compatibility issues? A couple of my blog audience have complained about my blog not working correctly in Explorer but looks great in Chrome. Do you have any suggestions to help fix this issue?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: