Barnaba kwenda Ufaransa kurekodi na Fally Ipupa

fally Barnaba

Fally na Barnaba

Mwanamuziki wa Bongo Flava Barnaba anatarajiwa kuondoka nchini kwenda nchini Ufaransa kwa ajili kurekodi na mwanamuziki Fally Ipupa ambaye awali walikuwa waifanye shughuli hiyo hapa Dar.

Barnaba alikaririwa akiosema kuwa amepata ofa ya kurekodi na mwanamuziki Fally Ipupa ikiwa ni takribani miezi miwili tangu deal hiyo iote mbawa baada ya Fally kukatiza ziara yake baada ya fujo zilizotokea huko Arusha.

Katika tukio hilo ambalo lilimkasirisha Fally kiasi cha kukatisha ziara yake kutokana na tatizo la umeme ambao ulikuwa ukikatika katika na mashabiki kukasirika na kufanya fujo.

Barnaba amesema kuwa aliwasiliana na meneja wa Fally huko Ufaransa na kukubaliwa kufanya kolabo hiyo bure lakini ajigharamie usafiri ambao alisema unafikia Tanzania Shilingi Milioni nne (4,000,000/-).

Binafsi Barnaba ni mmoja ya wanamuziki ambao ninawakubali sana, naweza sema THT imefanikiwa kutoa vijana wazuri inawezekana kutokana na kupewa airtime ya kutosha lakini nadhani mafunzo wanayopata yanawasaidia sana.

Advertisements

One Response to Barnaba kwenda Ufaransa kurekodi na Fally Ipupa

  1. byamanga kapela says:

    Mimi. Habari ya. Fally. Ipupa swahili

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: