Mkasi TV – with Masoud Kipanya

Ally Masoud Kipanya ni mchoraji katuni wa muda mrefu sana, alianza rasmi kazi hii zaidi ya miaka 15 iliyopita,kuna baadhi ya watu wananunua gazeti kwasababu tu ya kuona mchoro wa siku hiyo ambao huyu Bwana ameamka nao.

Pia ndio akili ya michoro yote nyuma ya kipindi hiki cha Mkasi: Sisi na yeye tulizungumzia juu ya ubadilikaji wa maisha na maadili ya utangazaji, kazi ambayo Kipanya anafanya ukiachana na kuchora katuni.Zamani alikua pia mtangazaji wa kipindi maarufu cha watoto show yeye na Marehemu Amina Chifupa (R.I.P) na Uncle Bonda kabla hawajahamia kwenye kipindi cha asubuhi pale Clouds FM.

Mengi yalitokea na kwa mara ya kwanza Kipanya alituhadithia kwenye kipindi hiki. Masoud ni Baba, Mume na Mtoto kwenye familia iliyokuzwa katika maadili mazito ya Ki’Islam.

2 Responses to Mkasi TV – with Masoud Kipanya

  1. Nice information, superb and precious style, as share superior stuff with very good concepts and ideas.

  2. Admiring the hard work you put into your site and in depth information you offer. It’s nice to come across a blog every once in a while that isn’t the same unwanted rehashed information. Fantastic read! I’ve bookmarked your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: