Kisusi acha kujipa moyo….

image
“…Simple Logic: Man U walimfunga Arsenal 8 – 2, Arsenal wamemfunga Blackburn 7 – 1, na Blackburn walimfunga Man U 1 – 0, Conclusion, Man ni mbabe wa Arsenal, Blackburn ni mbabe wa Man U, ila Arsenal ni mbabe wa mbabe wake Man U (Blackburn) kwa hiyo Arsenal ni mbabe wa Man U! Bisheni sasa – By kisusi nakati ya Kigamboni.
Advertisements

3 Responses to Kisusi acha kujipa moyo….

  1. paesulta says:

    …kaka Blackburn walimpiga Man U 3-2,na sio 1-0.

  2. mkemimi,kigoma,ujiji says:

    mpaka msubiri “mjomba nipigie” ndio mtangaze ubabe kupitia kwa mgongo wa mjomba,hiyo haikubaliki japo tunajua mjomba ni mama.

  3. Predator says:

    3-2 mama 1-0 bado ilikuwa ni ushindi paesulta

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: