Bandugu nani zaidi?

Kisha Sikiliza hii

Wadau mi mwenzenu naelekea kuchanganyikiwa sijui nimchague yupi kati ya hawa watoto cindy na meje,wamerudi tena na hizi,sema wewe…nani zaidi na nani anabahatisha tu…sikilizeni vizuri mwamnzo mpaka mwisho kuna mmoja mkali zaidi,lakini yupi sasa ndio issue..

Advertisements

5 Responses to Bandugu nani zaidi?

 1. mchambuzi wa muziki says:

  zaidi ni meje 30,cindy anabebwa tu na nyimbo za koffi.Meje anazo nyimbo zake na nyingine kawashirikisha wanamuziki wengini ingawa katunga yeye,mfano ule wimbo aliomshirikisha fally ipupa ni wake na pia kuna huu FIMBO YA BAKANDJA,bonge la wimbo kautungu na kuuimba yeye,cindy anaweza?

 2. mchambuzi wa muziki says:

  Halafu kuna kitu kimoja watu wanachanganya au hawaelewi,meje na cindy wote walikua kwenye bendi za chini za koffi kama wacheza show wanaosubiri kujiunga na bendi ya kwanza,koffi kama kawaida yake ya kuwatumia watoto wa watu kimapenzi akaanza kutaka kumtumia meje 30,bahati mbaya kwa koffi na nzuri kwa meje akamchomolea koffi kitu kilichosabisha kuzuka kwa chuki kubwa ya kimapenzi ya koffi kwa meje,ndio koffi kumkomoa meje ambae ana uwezo kuliko cindy akaanza kumpandisha cindy,meje akaondoka zake na kujiunga na tshala muana.Lakini koffi hajakubali bado anaendelea kumuandama meje na inasemekana kuna waandishi na wapiga picha za udaku anawalipa kumchafua mege,mfano mwaka 2010 meje akiwa kwenye show uganda na tshala muana watu wa koffi walitafuta picha za show hiyo na kuzi photo shop kumuonyesha meje akiwa amekaa uchi kabisa stejini,na picha zikasambazwa kwenye mitandao na magazetini,lakini haikua kweli zile picha zilitengenezwa ili kum disredit meje na kwa faida ya koffi na cindy wake,koffi anajua cindy hamfikii meje kwa kipaji cha kuimba na kutunga

 3. Papa Nelson na kati ya makambako says:

  koffi ni mshenzi wa tabia siku zote,anapenda kuwatumia watoto wa watu we muache lakini uzuri na yeye ana watoto kina didi stone wanakua..anayoyafanya yeye kwa watoto wa watu na yeye wake watafanyiwa

 4. You made some decent points there. I looked on the web for any issue and located most people may go in addition to together with your site.

 5. Appreciating the time and effort you put into your blog and in depth information you present. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same out of date rehashed material. Excellent read! I’ve saved your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: