Walikotoka Cindy na Mej30

Na The Romantic

Hawa mabinti sio wageni katika ulimwengu huu wa wapenda muziki wa lingala, kwa sasa mabinti hawa wote wameshatoka kimuziki,mmoja Cindy Le Coeur akiwa ametolewa na Koffi Olomide ambae kwa sasa ni kama mumewe na mwingine Meje 30 yeye ametolewa na mamaa mokonzi Tshala Muana ambae amekua akifanya nae kazi na kumtangaza kuwa mrithi wake, hapa tutawaona wakiwa bado makinda kabisa enzi hizo na bendi ya mtaani Leur Groupe Wassa wakiimba kuhusu ugonjwa wa ukimwi.

angalia kuanzia dakika 0.37 utawaona wasichana wanne wanajitokeza kati yao Mege 30 ni huyo blauzi nyeusi na suruali white anaesimama kushoto wakiimba na Cindy ni huyo gauni refu la kubana rangi ya maziwa na michirizi miekundu kulia kabisa katikati wanawaacha wasichana wengine wawili wamesimama.Sasa hivi Mege na Cindy wamebadilika sana sio kama wanavyoonekana hapa.

Advertisements

4 Responses to Walikotoka Cindy na Mej30

 1. Kimbanguiste says:

  Kumbe ni kweli Koffi ni mbakaji na ndiyo maana anasakwa na Interpol kwa kudhalilisha watoto. Namkumbuka Olomide toka miaka ya 70 kati kati na huyu Cindy ni kama mjukuu kwa Koffi yaani leo anabadilishwa chupi na Koffi? Franche nement Koffi oza trompe la!

 2. Fatuma mtanga says:

  kweli kabisa mdau hapo juu umesema,shame on him,hawa watoto ni wadogo sana jamani twende mbele turudi nyuma,koffi anafaa kuburuzwa mahakamani,huu ni ubakaji,eti alijidai kumpa babake gari kumtuliza

  • Heritier says:

   Koffi ni mbakaji kama washikaji zake Papa Wemba, na Evoloko. Ila Wacongo wengi ndivyo walivyo wanapenda kubaka visichana na kuwaacha kwenye mataa. Mpiana na Afande Mpela hii tabia sidhani kama waliacha maana na wao wakali kwa ba jeunesse filles, ni hatari kwetu ba congolais (se).

 3. mkemimi,kigoma,ujiji says:

  koffi ni mshenzi wa tabia aliwachezea wale wacheza show wake vibonge wa zamani kina Zina Bilao akawazalisha zalisha baadae akawatosa sasa yuko na haka katoto ambako ni kama kajukuu kake na hana hata aibu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: