NANI ZAIDI KATI YA CINDY LE COEUR na MEJE 30

Sikiliza sauti then tathmini  halafu toa maoni yako,kumbuka hawa watoto wamekua pamoja,wamejifunza muziki pamoja na wametoka pamoja pia,hapa wote wanaimba nyimbo za ku copy, je nani kamfunika mwenzake?????

Cindy Le Coeur… anasema “nzoto na ngai le coeur elengi na nga mopao, Kiukweli dogo AYEMBI BIEN nampa five kiaina,mpaka watu wameomba arudia “nzoto na ngai le coer elengi na nga mokonzi”

 

Kisha msikilize Meje 30

Wanadada hawa wawili kiukweli wamejizolea sifa sana na ushindani wao ni kama Fally na Ferre kwa wanakaka.

Advertisements

15 Responses to NANI ZAIDI KATI YA CINDY LE COEUR na MEJE 30

 1. Hadj Le Jbnique says:

 2. Fatuma mtanga says:

  kaka pius hivi vitu unavitoaga wapi?yani haushi ubunifu?anzisheni tv bwana,yani video nzuri kama hizi tena si ajabu za long time hata hatujawahi kuziona?halafu kumbe kuna wasichana wa kizazi kipya huko congo wanavupaji namna hii na hatujui kazi zao jamani hii si sawa,anywayz bwana leo umeifanya siku yangu itengemae ghafla maana nilivyoamka najijua mwenyewe

 3. Anonymous says:

  wote wakali ila cindy anaonekana kuchangamka zaidi stejini nadhani pengine ni muziki aliouchagua unambeba,labda na meje 30 nae angepata muziki wa kuchangamka kidogo lakini kwa sauti wote wako juu,but nimempenda zaidi meje 30!

 4. mamaa prezident says:

  meje yuko juu,haina ubishi,ananata sana na beat,na hizo nyimbo za akina ABETI MASIKINI na MARIE MISAMU amezipatia sana,kaka huo wa amrie misamu ameuimba vizuri kuliko hata mwenye nao,ila na yeye nilikua nampenda lakini alinikera kukaa uchi kabisa uganda,ile ilimuharibia sana

 5. mkemimi,kigoma,ujiji says:

  Da leo mmenitega kwelikweli maana haya mabo ya wadada wenzangu ndio mambo yangu,kiukweli nimejaribu kuwasikiliza wote lakini nashindwa kua yangu niipeleke wapi,mege kaimba nyimbo za wamama niliowapenda sana wakati nakua,hiyo inaweza kuwa faida yake kwangu nyimbo alizoimba zimembeba kwangu,cindy nae kaimba vizuri huo wimbo wa koffi sema katia nakshi zake zimeufanya uwe mzuri zaidi.kiufupi wote wakali bwana

 6. Anonymous says:

  TATIZO CINDY KAZIDISHA MASHAUZI YAANI ANAJISHEBEDUA SANA HUYO DEMU MWINGINE NAE KATULIA SANA KUNAKO STAGE SO HAPO NGOMA” PATULO”-DROO-ILA KWA SHAPE ZA KUNUNUA WAKALI

 7. Papa Nelson na kati ya makambako says:

  meje yuko juu haina ubishi,anasauti nzuri kuliko cindy,cindy anatumia nguvu nyingi sana kuimba sauti yake wakati mwenzake anaimba easy tu

 8. domki says:

  I have been surfing online more than three hours today,
  yet I never found any interesting article like
  yours. It’s pretty worth enough for me. In my view, if all webmasters and bloggers made good content as you did, the net will be a lot more useful than ever before.|
  I could not refrain from commenting. Exceptionally well written!|
  Typical hotel is situated in the industry, vacationer along with ethnic precinct of Poland’s cash, along at the intersection with her most important avenues:. It will be at the famed Construction of Tradition and additionally Discipline, the most crucial firms, bankers as well as the hunting heart. Those people are comforts to create your live in Warsaw when entertaining as you possibly can, usually are gathered surrounding. Practical experience of the particular airport terminal, positioned 10 kilometres from your hotel room; and also the Essential Railway Radio station is due to any 0. 5-kilometre mileage.

 9. What’s up, for all time i used to check blog posts here in the early hours in the dawn, because i love to find out more and more.

 10. Anonymous says:

  Cindy yupo juu lie mbaya

 11. Kristopher says:

  The Linux ‘which’ command is one of the lesser used commands, but
  when you need to know the full path to a command, which is the fastest
  way to find out. Starting your day by clearing out your inbox,
  voicemail inbox, and e-mail inbox is just plain dumb. I’ve posted the site where I uncovered them down below, so simply check it out and get your coupon codes today.

 12. Canvas Art says:

  Hello, after reading this amazing paragraph i am also
  glad to share my know-how here with friends.

 13. We have in-house personnel with expertise ranging from Project Management,
  concrete, carpentry, electrical, plumbing, and general construction.
  Lone Star also specializes in complete remodels.

 14. Anonymous says:

  MEJE 30 NIMKALI SANA KULIKO SINDY IKO POPE KWA BWANAYAKE KOFFI TU

 15. I have bookmark your site and also include rss.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: