Full Mzuka fikini 2011

Bana wenge bcbg  full mzuka big sound ndani ya FIKIN 2011…

Libooo eeeeh liboko yoyooo……rota rota…, Habari nilizozipata zinasema kuwa JB Mpiana na Wenge BCBG wako mbioni kuja jijini DAr Es Salaam, Kwa mujibu wa chanzo hicho kilicho karibu na wadhamini kinasema kuwa jamaa wameshaanza taratibu za kuileta bendi hii jijini Dar na nikithibitisha nitawaeleza.

12 Responses to Full Mzuka fikini 2011

 1. peter says:

  …Lisimoooo… Libokoo…Le Farid na Maskat….Libokooo!!, na Le Hadje Jbenique…Libokooo!!! na Mama Presidaaaaaa…Libokoo na Papa PIUS…Libokooo !!! na Bana BCBG boseee Libokooo…na Predetor….liboko!! Bana Kigoma ..liboko …bana Darisalam…liboko na Ng’wanza…liboko …nabana Atown ..Liboko!!

  Aaaaaaaaaaah Souve Kitoko makasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!

  nzembela bango!!nzembela bango, nzembela bango!

  ….nasepeli Mingi Papaaa PIUS good News!!! In my hand 500,000Tsh separated for that day…please! Please!! Update us!!
  !

 2. mamaa prezident says:

  kazi nzuri,mambo ya rota rota kinanda kimetulia mno,naona mashabiki walishinikiza avue kofia waone kipara chake,safi sana

  biloko leeeleee biloko….safi sana walete tu kaka,tutacheza sana hizi style zinachezeka kabisa,very simple zote tu,biloko,rotarota,liboko na baba lao mpunda pia

 3. Anonymous says:

  thanx fo the nice video kweli full mzuka mwanzo mwisho.tupeane taarifa za ujio wa hawa watu isiwe kimya kimya kama walivyokuja last time jamani.

  jb anachangamka sana kwa steji tofauti na koffi

 4. paul samara says:

  JB MPIANA HANA JIPYA LA KUTUONESHA WANA DAR ES SALAAME KAISHIWA. FALLY IPUPA,FERE GOLA NA WERASON, NDIO WANAMUZIKI PEKEE WA KONGO WANAOWEZA KUPOKELEWA VIZURI DAR KAMA ILIVYOKUWA ZAMANI. KAMA UNABISHA ZUNGUKA MITAANI ULIZA WAKAZI WA DAR HATA KUMI TU WAKUTAJIE ALBAM MPYA YA MWISHO YA JB,HAKUNA ANAE IJUA

 5. mchambuzi wa muziki says:

  we unafuata mkumbo,ili kuelewa mziki unapaswa usikilize na kutizama video kama hizi ndio ufanye maamuzi yako binafsi bila kuzunguka mitaani kuuliza wakazi wa dar,mwisho wa siku unaeburudika ni wewe,tatizo watu mlioanza kuujua muziki wa lingala baada ya wazee wa ngwasuma fm academia kuimba samaki mna taabu sana ya kuujua muziki,mnaishi kwa kukariri.Album ya mwisho ya wenge bcbg ni hii hapa,hebu weka hiyo ya hao unawataja inayokaribia au kulingana na hii…

 6. Anonymous says:

  huyo jamaa sijui samara sijui nani may be sio mtu wa muziki wa congo,anasikia sikia tu stori lakini si mfuatiliaji otherwise asingeongea pumba hizo,jb kwa sasa ndio yuko juu hata fikin sijui kama samara anaijua ambalo ndio tamasha kubwa kupita yote kongo la kila mwaka kama ulivyoona hapo kwenye video ya live concert jb ndio aliwafunika karibu wote hao na wamekubali wenyewe..we subiri uone tatizo jb ana mashabiki wake wa kudumu na ni watu wa muziki,sio wafuata mkumbo!

 7. paul samara says:

  niwe nimefaham muziki wa kongo leo au zamani haijalishi,nimetazama mazingira ya muziki wa kongo ulivyo hapa tz kwa sasa,watu wanakwenda kwenye shoo ya mwanamuziki ambae ana albam inayopata air time ya kutosha kwenye radio stations.ni mashabiki wachache ndio wanaokwenda kununua cd bila kusikia redionii,albam mpya ya JB haijapata air time ya kutosha hapa dar,ni mashabiki wa kudumu wa JB ndio pekee mnaosema jamaa mkali.sisi mashabiki tunaofuata upepo wa muziki unaovuma kwa wakati husika hatuwezi kwenda kumtazama JB MPIANA. nakubali sisi wafuata mkumbo hatuitaji kujua JB anafanya nini fikin.tunaangalia anakubalika vipi hapa dar na ana kipi kinachokubalika kwa wakati huo -MFANO KILA KOFFI ANAPOKUJA DAR ANAKUWA NA ALBAM INAYO HIT SANA WAKATI HUO,INAKUWA RAHIS HATA MTOTO MDOGO TU KWENDA KUMUONA ANAPOSIKIA KOFFI ANAKUJA DAR, HILI HALIHIITAJI UTALAAM WA MUZIKI,- wote mliochangia najua ni wapenzi wa kudumu wa JB mpiana,hivyo siwalaum ,

 8. Anonymous says:

  ok bwana na wewe tunajua ni mpenzi wa kudumu wa fm academia,ni ngumu kukuaminisha kwamba kuna muziki au bendi ya wazee wako wa ngwasuma ya bongo maana hao ndio hata mtoto ukimuuliza anawajua

 9. Anonymous says:

  I mean ni gumu kukuaminisha kwamba kuna bendi au muziki zaidi ya huo wa wazee wa ngwasuma na akudo kwa kuwa ndio zinapata airtime ya kutosha kutokana na kuwa na fungu maalum la kuwawezesha ma redio presenter

 10. Anonymous says:

  kaka samurai ina maana wewe hutaki kucheza biloko na rotarota au mpaka ziwemo kwenye album ijayo ya wazee wa ngwasuma ndio utaanza kuzikubali?sasa hivi kin kila mtoto kila mtu kila bendi inacheza mitindo hiyo mzee,jenga tabia ya kuamini unachokiona sio kuona kile tu unachokiamini.tafakari ujumbe huo kwa kina utanielewa nimesema nini na ninamaanisha nini,huna haja ya kuzunguka mitaani kuuliza wakazi wa dar muziki mzuri ni upi,unasikiliza muziki hapa hapa wa bendi zote katika album zao za mwisho na kutizamalive concerts ambako ndiko muziki halisi unapigwa acha ule uliokwisha rekodiwa studio na kuongezewa nakshi na mitambo ndio uje usikilizishwe redioni,watu wa muziki tunafuatilia concerts mbalimbali na kujua na kujua nani anafanya vizuri kwa steji,ukifuata redioni hapa tz eti dj anapiga muziki gani basi ndio mzuri utachemka,leo hii ukiipmbanisha fm academia na bendi yeyote ya kongo fm itashinda,lakini sio ukweli kwamba fm itakua ndio bora kuliko wanaowaiga

 11. Currently it appears like Movable Type is the best blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you are using on your blog?

 12. Thanks for a marvelous posting! I quite enjoyed reading it, you might be a great author.I will always bookmark your blog and will eventually come back very soon. I want to encourage you to definitely continue your great job, have a nice afternoon!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: