Heritier Watanabe kijana aliyeeibeba WMMM

Kwa wanamjua Werrasson hata kama hasemi hadharani ila Heritier Watanabe ni kijana ambaye kwa ukweli aliibeba sana WMMM.

Mi namkubali sana watanabe yeye kama yeye kwani jamaa anaimba sana na anaweza kunata na beat na hiki ndio ninachozipendea nyimnbo zake. Msikilize hapa Watanabe. kisha na we useme.

Advertisements

5 Responses to Heritier Watanabe kijana aliyeeibeba WMMM

 1. Predator says:

  Kutoka kwake Heritier Watanabe ni huzuni maanake yeye ndiye alilijaza vizuri sana pengo lililoachwa na Ferre. Ndugu Pius hebu utuongezee hapo video ama hata audio ya ‘Nikide rmx’ ya Album ‘Simply the Best’ ndio wadau wasikize namna Heritier na Werra sauti zao zilimix murua kabisa hata kushinda duet zozote zenye Werra ameimba na wana WMMM wengine

 2. BABA MARTHA says:

  Namfahamu, Heritier tangu anacheza shoo, utamuona vizuri kwenye Live ya Zenith, kufa kufahana, walipotoka kina Ferre Gola ndiyo akaanza, kuoneka, naomba nionekane mbishi,Watanabe awezi kuziba pengo lililoachwa na Ferre, siyo muimbaji mzuri anabebwa tu na Werra, amepewa nafasi ya kukaa pembeni ya Werra kama alivyokuwa Ferre, nilimuona vilevile alipokuja hapa(Bongo)

 3. Anonymous says:

  wata yuko nyie acheni ubishi

 4. Anonymous says:

  Wata yuko juu nyie acheni ubishi

 5. Paschal M Canisio says:

  Napenda kutoa sifa kemkem kwa Heritier Watanabe, ila nikanushe tu kwamba kijana huyu hakung’ara baada ya Ferre kuondoka. Wata alianza kuonekana na kung’ara tangu album ya ‘ala que leu leu’ na ninadhani Ferre alilitambua hilo na hakutaka kuendelea kushindwa

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: