Abdallah Herry…!!

Anaitwa Abdallah Herry ni mtanzania ambaye anafanya shughuli zake huko Falme za Kiarabu. Abdallah aka Dullah alikuwa baunsa kwenye baadhi ya kumbi za starehe na mimi nilisoma naye Kinondoni High School na kipindi hicho alikuwa akifanya kazi na Clouds.

Kwa sasa Dulla ni Trainer kwenye Gym kubwa ambayo naye ana share na pia ana mikataba ya kufundisha mazoezi ya viungo kwa timu mbalimbali pia huko huko Falme za Kiarabu.

 

Advertisements

2 Responses to Abdallah Herry…!!

  1. joseph kony says:

    kwa hiyo kama anafanya kazi ya gym UAE sis tufenyeje sasa?
    watanzania wamelundikana nchi mbali mbali wakitafuta maisha,kila mmoja akija kwenye hii blogu kuelezea aliko na anachokifanya,sipati picha.try to be more creative blogger,this is not enough

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: