Roga le Special one..

Nani Kama wewe Roga roga le liberateur de la Extra Musica,

Kitu Racines utunzi wake Roga roga..sikiliza sebene la ukweli hapa..i luv this song

Advertisements

5 Responses to Roga le Special one..

 1. Predator says:

  Nakubaliana mara 10 brother
  Rogaroga na the late Musa Juma wanashare kitu fulani. Je ni gani?

 2. mkemimi,kigoma,ujiji says:

  musa juma ndio nani tena?please tufafanulie na pia ni kitu gani anachoshare na roga roga?

  Kuna kitu kimoja tunajifunza kwa huyu mkaka,uvumilivu…brother ni mvumilivu sana maana tukikumbuka alivyoanza na wenzake kwa kishindo badae wakaanza kuondoka mmoja mmoja lakini akawa hatetereki akitoa kitu anaweka kitu,kwa kweli anastahili heshima sio siri,,

 3. Predator says:

  Pole Mkemini kwamba nilikosea kwa kutotangulia na maelezo sahihi. Musa Juma ni mwanamuziki wa Rhumba mkenya alieaga dunia mwaka jana, aliyenukuliwa sana kwamba alikuwa na ujuzi wa karibu zana zote za muziki, pamoja na kucharaza gitaa akiimba at the same time. Nakubaliana kwamba Roga x2 ni mstahimilivu na mtaalamu kwa kutambua talanta. Je Roga na Werrason wako sawa kwa kutambua na kusajili talanta mpia?

 4. Anonymous says:

  mi nadhani wanaweza kufanana cuz wote hawawezi kuimba sauti ya kwanza hivyo wanahitaji msaada kuoka kwa wenye sauti nyororo

 5. Predator says:

  By the way, nani alichukua nafasi ya Oxygene?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: