Usiyoyajua kuhusu Goli la Thiery Henry juzi…

Thiery Henry ambaye amejiunga kwa mkataba wa miezi miwili na Klabu yake ya zamani ya Arsenal anatawaliwa na namba 12 kwenye goli lake la jana….

 • Alianza mjadala wa kurejea Arsena kwa mkopo mwezi wa 12
 • Akafunga goli lake la 12 dhidi ya Leads
 • Alikuwa amevaa jezi namba 12
 • na Goli lilifungwa dakika 12 kabla ya mpira kumalizika.
 • Kumbuka hili ni goli lake la kwanza kwenye ligi hii kwa mwaka huu 2012

Na hii ndio Starehe ya Spoti bwana.

Advertisements

2 Responses to Usiyoyajua kuhusu Goli la Thiery Henry juzi…

 1. Predator says:

  Hekima yako yanipa furaha mno. Ahsante kwa kunichangamsha na nambari hizi

 2. Philipo Haule says:

  Ninachokupendea Blogger Pius kitu hicho hicho ila una kiripoti ki starehe zaidi ama kweli hii ni Spoti na Starehe napataga sana burudani nikisoma Blog yako.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: