Werrason – Techno Malewa Generique Suite et Fin

Habari za mwaka mupwa bandugu bapendwa, nimekuwa kimya kidogo kwa sababu ya mapumziko ya mwaka mupya nilikuwa nje ya mji huko kijijini Mlimba.

Naomba tuukaribishe mwaka kwa kumtendea haki King of the Jungle Werasson Ngiama Makanda jaribu kuangalia quality ya hii Video kisha unipe mchango wako.

Advertisements

6 Responses to Werrason – Techno Malewa Generique Suite et Fin

 1. RICHARD MALEWA says:

  Le Rooooooooooooy De Le Forret Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni! Dada Saida Kessy Hebu Tafuta hii kitu uwaoneshe vijana jinsi ya kutengeneza Video Bora Kabisa!

  Lakini na wewe Dully Sykes Nomaaa tumeona ulivyoinogesha Biberon yako na tumshukuru Ngiama Makanda Werrason.

  Eeeh dotidoooo…dotidoooo…dotido dotidoooooo!

  Aleeeh moko… moko… moko….. mokooo! Werrason Ngiama Le Phenomenaa!

  merci mingi wadau wote!

 2. Stivin says:

  De laforet, phenomene Igweeeeeeeeeeeeeee! Bingwa wa muziki wa Africa, Muulize Duly sykes kwa nini haigi wanamuziki wengine wa Congo? Noel Ngiama analeta mamboooooooooo!

 3. Farmerman says:

  Kindly can u post for us the lyrics and transl of this great track by the an himself king of the jungle.

  Addent FUN!

 4. Predator says:

  Kama kuna kitu kimoja Werrason amewashinda wanamuziki wengi Africa, ni style and taste. Hakuna chochote alichokivumbua kikakosa kuigwa kote barani

 5. Anonymous says:

  naona mawerasonique tumewachia uwanja kwa siku tano mnashindwa kuutumia,comments 4 mpaka leo,ngoja turudi wenyewe sasa!

  • Stivin says:

   Mawerasonique huwa hatuongei kwa maneno, nyimbo za Werrason ndo zinaongea, nitajie albam ya bwana mdogo petie frere Mpiana inayoweza kufikia Malewa!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: