Patchou Mwamba, amaliza mwaka na mafanikio kwenye Bongo Movie

image

Katika watu wamemaliza mwaka kivingine basi ni mwanamuziki huyu Patcho Mwamba Lukusa “tajiri”.

Kwangu Mimi Patcho mwamba ndio kielelezo cha Msanii kwani ana weza kila sanaa, Patcho Mwamba ni muimbaji, Mtunzi, Composer, Music Arranger, Mchezaji, Mchekeshaji na ni muigizaji pia. Mwaka huu 2011 amemaliza akiwika katika tasmia nzima ya sinema huku ajijizolea umaarufu mwanamuziki huyu toka kundi la FM Academia wana Ngwasuma ameweza kujizolea sifa kem kem toka kwa mashabiki wa Dollywood na wengine hata kuuliza alikuwa wapi siku zote.

Ninachoweza kumhusia tu Patcho Mwamba usije kulewa sifa Uncle fanya kazi Uncle wangu nakukubali sana kimuziki na kiugizaji, na nakwambia utafika mbali. Nimependa Patchou alivyo act kwenye Movie ya Kanumba ambayo imetengenezwa na Kampuni ya Kanumba mwenyewe ya This is IT, jamaa ame act kama ana uzoefu wa miaka kadhaa kwenye industry hii, rafiki yangu Papaa Julie We Estone Le Presidaa Bana Congolee in Tanzania anasema Patchou hakustahili kuwa hapo alipo inawezekana amechelewa kugundua vipaji vyake.

Nakuacha na kibao Acha Tamaa chao FM Academia

Albamu ya wimbo huu pamoja na nyimbo nyingine kama Anna kiukweli ndio ziliipandisha FM hapo ilipo na Patchou Uncle wangu nawaambia mna kazi kuja kuipiku hii kazi yenu hapa mlituliza vichwa, naikubali sana.

Advertisements

5 Responses to Patchou Mwamba, amaliza mwaka na mafanikio kwenye Bongo Movie

 1. BABA MARTHA says:

  Du, umesahau na Kizimungala utunzi wake King Blaise

 2. Anonymous says:

  papa puis bamala nimeipata we kiboko.

 3. Baonga Georges says:

  Young-boss

 4. Alhaji says:

  Namkubari Sana Kwa Uigizaji Ni Mimi Alhaji Shengovi

 5. Good evening, my mother invited me to go thru your blog since it seemed very interesting. At start, I was not sure it was about tango or any of the famous milonga popular people, but then, by going thru it, I realised it was. I will continue reading these articles in the future, so again thanks for writing them for all us. Cheers! #tangoinlove #elementotango

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: