JB Mpiana anogesha Birthday ya Mose Katumbi Chapwe leo hii…

image

Mwanamuziki PAPAA CHERIE,MUKULUMBA,MOTO PAMBA,BINADAMA,SALVATORY DE LA MATINA,DON E’ MUSWAHILI LE MON DU MONDE,LE GRA RIDEE KARITHMATIKE GENERASIO DE LA MUSIC CONGOLESE A.K.A.PAPAA NA DAIDA JB MPIANA  akiwa na repa wake Gentamacine wakitoa vyombo kwenye sherehe ya kuzaliwa Tajiri wa Klabu ya TP Mazembe Moize Katumbi Chapwe katika uwanja mpya wa TP Mazee mchana wa leo huko Lumbumbashi Congo.

Chapwe aliyezaliwa tarehe kama ya leo 28 Dec ameamua kusherehekea kwenye uwanja mpya wa timu hiyo huko huko Lubumbashi DRC.

image

image

Tajiri Moize Katumbi Chapwe akitoa nasaha zake wakati wa sherehe hiyo uwanjani.

image

image

Tajiri akiingia uwanjani

Mashabiki waliohudhuria.

image

Katumbi alipata wakati mgumu pale mamia kwa maelfu ya mashabiki walipokuwa wakipiga kelele na kutaka uwanja huo upewe jina lake ili kumuenzi kwa mchango wake kwenye soka. angalia picha mbili za chini.

image

image

 

image

Kijana akimpatia zawadi ya Kandambili zenye jina la timu ya TP Mazembe

 

image

image

MAshabiki wakiwa na Bango la TP Mazembe

image

image

JB Mpiana akiwasili uwanjani

image

JB Mpiana akiingia uwanjani akiwa na Gentamacine na walinzi wake (Picha zote kwa hisani ya TP Mazembe)

Advertisements

7 Responses to JB Mpiana anogesha Birthday ya Mose Katumbi Chapwe leo hii…

 1. Silas says:

  Hii ndio Spoti na Starehe nimeamini tunakula Spoti ya TP Mazembe huku Starehe ya JB mpianaa baba daida.
  Kaka nakukubali sana sanaaaaaaaaaa

 2. peter says:

  PAPAA CHERIE,MUKULUMBA,MOTO PAMBA,BINADAMA,SALVATORY DE LA MATINA,DON E’ MUSWAHILI LE MON DU MONDE,LE GRA RIDEE KARITHMATIKE GENERASIO DE LA MUSIC CONGOLESE A.K.A.PAPAA NA DAIDA JB MPIANA ………..hiiii mistari imenifurahisha sana!!!……naitalaku tena hapa chini!!!!

  PAPAA CHERIE,MUKULUMBA,MOTO PAMBA,BINADAMA,SALVATORY DE LA MATINA,DON E’ MUSWAHILI LE MON DU MONDE,LE GRA RIDEE KARITHMATIKE GENERASIO DE LA MUSIC CONGOLESE A.K.A.PAPAA NA DAIDA JB MPIANA

 3. peter says:

  PAPAA CHERIE,MUKULUMBA,MOTO
  2012 BCBG FUN CLUB A TOWN FUN CLUB MEMBERS
  PAMBA,BINADAMA,SALVATORY DE LA MATINA,DON E’ MUSWAHILI LE MON DU MONDE,LE GRA RIDEE KARITHMATIKE GENERASIO DE LA MUSIC CONGOLESE A.K.A.PAPAA NA DAIDA JB MPIANA ………..hiiii mistari imenifurahisha sana!!!……naitalaku tena hapa chini!!!!

  PAPAA CHERIE,MUKULUMBA,MOTO PAMBA,BINADAMA,SALVATORY DE LA MATINA,DON E’ MUSWAHILI LE MON DU MONDE,LE GRA RIDEE KARITHMATIKE GENERASIO DE LA MUSIC CONGOLESE A.K.A.PAPAA NA DAIDA JB MPIANA

 4. Hi, I would like to subscribe for this webpage to get most recent updates, thus where can i do it please help out.

 5. I think that is an informative post and it can be knowledgeable and pretty useful. I would wish to thank you for that efforts you may have created in writing this article.

 6. I am interested in looking for more of such topics and would like to have further information. Hope to see the next blog soon.

 7. It’s a shame you don’t have a donate button! I’d definitely donate to this excellent blog! I guess for now i’ll settle for bookmarking and adding your RSS feed to my Google account. I look forward to new updates and will share this blog with my Facebook group. Chat soon!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: