JB Mpiana anogesha Birthday ya Mose Katumbi Chapwe leo hii…

December 28, 2011

image

Mwanamuziki PAPAA CHERIE,MUKULUMBA,MOTO PAMBA,BINADAMA,SALVATORY DE LA MATINA,DON E’ MUSWAHILI LE MON DU MONDE,LE GRA RIDEE KARITHMATIKE GENERASIO DE LA MUSIC CONGOLESE A.K.A.PAPAA NA DAIDA JB MPIANA  akiwa na repa wake Gentamacine wakitoa vyombo kwenye sherehe ya kuzaliwa Tajiri wa Klabu ya TP Mazembe Moize Katumbi Chapwe katika uwanja mpya wa TP Mazee mchana wa leo huko Lumbumbashi Congo.

Chapwe aliyezaliwa tarehe kama ya leo 28 Dec ameamua kusherehekea kwenye uwanja mpya wa timu hiyo huko huko Lubumbashi DRC.

image

image

Tajiri Moize Katumbi Chapwe akitoa nasaha zake wakati wa sherehe hiyo uwanjani.

image

image

Tajiri akiingia uwanjani

Mashabiki waliohudhuria.

image

Katumbi alipata wakati mgumu pale mamia kwa maelfu ya mashabiki walipokuwa wakipiga kelele na kutaka uwanja huo upewe jina lake ili kumuenzi kwa mchango wake kwenye soka. angalia picha mbili za chini.

image

image

 

image

Kijana akimpatia zawadi ya Kandambili zenye jina la timu ya TP Mazembe

 

image

image

MAshabiki wakiwa na Bango la TP Mazembe

image

image

JB Mpiana akiwasili uwanjani

image

JB Mpiana akiingia uwanjani akiwa na Gentamacine na walinzi wake (Picha zote kwa hisani ya TP Mazembe)


%d bloggers like this: