Mobutu alivyovyosherehekea Christimass na familia yake

NA The Romantic Spoti Starege Die Hard Fun
image
Muzee Mobutu akiwa na Mkewe wakisakata dansi la Chriss Mass kwa muziki Nairobi wa Mbilia Bell
 

Hivi ndivyo Rais Mobutu Seseseko na familia yake walivyokuwa wakila raha wakati wa sikukuuu za mwisho wa mwaka (christmas na mwaka mpya). Pata video hapo chini upate angalau kwa uchache kinshasa ilivyokua inawaka moto kweli kweli enzi hizo za Mobutu!angalia kwa makini video zote mdau usione uvivu…utafurahi na roho yako.Hii ilikua ni kwenye makazi ya kifahari ya mzee kijiji kwake Gbadolite.

 

Hapa ikafika zamu ya mzee Mobutu na mkewe kipenzi mamaa Bobi kufungua muziki,uliza wimbo gani sasa mzee aliuchagua kufungulia…mi sitii neneo sikia na kutazama mwenyewe,hii ndio sports starehe bwana.

 

Ikafika zamu ya vijana kuruka nyoka,hapa watoto wa mobutu Nzanga,Kongolo pamoja na dada zao wanarushwa na zaiko langa langa nkolomboka live on stage!mnajuta kwanini sports starehe haimiliki tv station yake…but one day yes…

Vijana na wanafamilia wengine wa mzee wanajumuika hapa kuyarudi magoma ya zaiko,raha sana…

Hii ilikua 1986 lakini utafikiri christmas ya leo…

Happy Boxing day bana Spoti na Starehe

8 Responses to Mobutu alivyovyosherehekea Christimass na familia yake

 1. Anonymous says:

  mobutu alijua kula bata huyu mzee….naona wanae hapo video ya mwisho wanayarudi mangoma si mchezo,hasa huyu brother mwenye suti nyeusi huyo

 2. Anonymous says:

  hapo anapoingia muzee na mkewe video ya kwanza kuna wimbo unapigwa kama ule chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi…hii waliiga huku au sisi ndio tuliiga kwao?

 3. Anonymous says:

  LEO BONGO RAIS AJARIBU KUFANYA HIVYO UTASIKIA MAKELELE KILA KONA KWANI RAIS JAMANI ATAKIWI KUFURAHI NA NDUGU ZAKE?

 4. Anonymous says:

  joseph kongolo hapo naona akiwa bado kinda na suti yake black poa sana

 5. Farid From Muscat says:

  kwa mtazamo wangu mimi naona congo kulikua na furaha sana enzi zake kushinda sasa,
  maana hata kimuziki zaire ilitambulika sana enzi za Sesesiko na sio sasa.

 6. Anonymous says:

  KIPINDI HICHO KINSHASA MOTO KWELI……….

 7. We absolutely love your blog and find almost all of your post’s to be just what I’m looking for. Would you offer guest writers to write content available for you? I wouldn’t mind publishing a post or elaborating on many of the subjects you write in relation to here. Again, awesome website!

 8. Bbs.aratp.com

  Mobutu alivyovyosherehekea Christimass na familia yake | Spoti na Starehe

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: